Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda

Duh jide bhaaaaaas,mwacheni anaconda

OK Kiongozi so kwa maoni yako hayo umeonekana kumkubali Jide kama Jide na si kwa 7bu ameshinda tuzo ya kuchaguliwa kwa kura ambazo Mzee Makamba aliwahi kuziita za maruhani...
Ok nikutakie usiku mwema mkuu.

OK mwingine...

mkuu jide alikukosea nini? msamehe coz anakutesa sana, mpaka unaamka usiku wa manane kuvizia thread zake umtusi ,unatia huruma sana
 
Jide ni mwanamuzika anayejiheshimu na kuheshimu kazi yake ya uanamuzika na ndo maana hata siku moja hujawahi sikia ana skendo za ajabu japokuwa na yeye ana mapungufu yake kama binadamu yeyote,alianza muziki miaka kumi na tatu iliyopita hadi leo bado ana sikika na kusema ukweli jide HACHOKWI hii ni kutokana na ubunifu wake pamoja na umakini kwa chochote kile anachokifanya,she is fire,watanzania hat hili pia hamtaki kukubali???,au mnatak afe kwanza ndo muanze kusema ooh jide alikuwa vile na hivi,uo ni unafiki,wako wapi wakina ray c????
 
Unajua wa Tz tunajua kuponda tu na hatutaki ku Appreciate mafanikio ya wenzetu na kuwaunga mkono.Sijui ni wivu!!???
 
Hongera zake namkubal sana huyu mdada

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
we ni kati ya wale walegeza suruali?
hv huwa mnalegeza kwa lipi?
tayali kwa kutenda au kutendwa?
huna jipya kaa mkao wa kushughulikiwa, jide juu, juu, juu zaidi!

Haaa haaa, tell her/him
 
Jide hakupewa tuzo kwakuwa anastahili; Ila busara ilitumika ili kumpunguzia stress.

Tangu apewe tuzo mwaka jana hakuna la maana alilofanya la Kumuwezesha kupewa tuzo.
 
Comando nimeanza kumkubali baada ya luge kumpromo.

safi kabisa clouds fm.
 
aaaah?????mara hii ile kashfa kuwa hizo tuzo za ruge na clouds imepotea?si mlisema hizo tuzo zina feva ya clouds sasa yamekuwa hayo tena?kweli waswahili wanafiki!!!!

Wamempa kubalance mambo
 
Hili joto hasira....team anaconda!
 
Watu na vigeugeu,walikua wanadai kili award wanapendelea watu wa cloud,sasa sijui hapa ndo tusemaje.
 
Wamejikosha na bado hawatakuwa wasafi
 
mkuu jide alikukosea nini? msamehe coz anakutesa sana, mpaka unaamka usiku wa manane kuvizia thread zake umtusi ,unatia huruma sana

Mkuu Matumbo heshima mbele...
Kwanza kabisa nikurekebishe kuwa sikuwa nimeamka bali nilikuwa macho kutokana na utafunaji uliokithiri wa

Then tu nikusahihishe kabla Jide hajaja na sarakasi zake kuwa akifa watu fulani wasiende kumzika au alipoibuka na kioja kisicho na ushahidi kuwa ati Clouds ni wanyonyaji je ulishawahi ona nikimshambulia Juventus huyu?
wewe ni expert humu unaweza kuwa na ushahidi.

nilikuwa namkubali sana huyu Juventus lakini @ the end baada ya kuanza kulialia na kuelezwa na wadau kwa kina kinachomliza nimempuuza na ndio maana unaona napinga kila upotofu unaorushwa na yeye au na washabiki wake...

NB: mimi pia ni adui namba moja wa Clouds Media.
Lakini uadui wangu kwao ni kwa ishu zilizothibitishwa kama ile ishu ya Sugu, na si ishu za watu wanaoelekea kufa kisanaa na matokeo yake wanazusha porojo ili wapate huruma za wadau.

MWISHO...
Gang Chomba atabakia kuwa Gang Chomba tangu 29/2/2008 till now.
Gang Chomba haburuzwi wala hayumbishwi na propaganda za wakurupukaji.
 
Asante Charles kwa swali lako...
kwa kifupi mfumo wa utoaji tuzo hizi haujakaa sawa.
Tuzo hizi ni tuzo ambazo kwa kweli ni worst ever ktk utoaji wa tuzo, na ndio maana hata Jide mara kadhaa ashanukuliwa akizisaga japo huwa anashinda pia.
Tuzo hizi ni tuzo ambazo mshiriki fulani anaweza kuwa na ngoma kali zinalizobamba kwa kipindi kireefu sana ktk mwaka, lakini akatokea mpinzani wake ambae nyimbo yake well ni kali ila ikawa haijabamba kama za huyo mwenzie so akaamua kuwekeza katika kutuma sms na end of the Day huyo mwenye nyimbo kali akaangukia komwe...

Hapo ni lazima niwe muwazi, watever Jide kashinda au hata angeshindwa mie tuzo hizi nilishazivuaga nguo those years.

Na ndio maana kwa waliokuwa pale wameeleza masikitiko yao kuwa washindi weengi hawakuwepo jukwaani, hii ni kutokana na tuzo hizi kudharaulika naweza sema.

Ok swali la nyongeza?

Nimeufatilia mjadala wako na PhD lakini kwa uhalisia ni kwamba hapo kwenye blue ndo upo kwenye HOJA,kwa miaka kadhaa tuzo za KTMA zimekua zikipondwa na wapo waliojitoa kwa sababu ya upuuzi
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: PhD
Mkuu Matumbo heshima mbele...
Kwanza kabisa nikurekebishe kuwa sikuwa nimeamka bali nilikuwa macho kutokana na utafunaji uliokithiri wa

Then tu nikusahihishe kabla Jide hajaja na sarakasi zake kuwa akifa watu fulani wasiende kumzika au alipoibuka na kioja kisicho na ushahidi kuwa ati Clouds ni wanyonyaji je ulishawahi ona nikimshambulia Juventus huyu?
wewe ni expert humu unaweza kuwa na ushahidi.

nilikuwa namkubali sana huyu Juventus lakini @ the end baada ya kuanza kulialia na kuelezwa na wadau kwa kina kinachomliza nimempuuza na ndio maana unaona napinga kila upotofu unaorushwa na yeye au na washabiki wake...

NB: mimi pia ni adui namba moja wa Clouds Media.
Lakini uadui wangu kwao ni kwa ishu zilizothibitishwa kama ile ishu ya Sugu, na si ishu za watu wanaoelekea kufa kisanaa na matokeo yake wanazusha porojo ili wapate huruma za wadau.

MWISHO...
Gang Chomba atabakia kuwa Gang Chomba tangu 29/2/2008 till now.
Gang Chomba haburuzwi wala hayumbishwi na propaganda za wakurupukaji.

hapo kwenye brown sio kweli,,,,ila sio kesi sio deni mkuu....
 
Hivi hizi tuzo bado zipo?!.
Hivi haiwezekani kuanzisha tuzo zingine zitakazokuwa na heshima?.
Kili awards ni tuzo ambazo mi mwenyewe nilishaanza kuzifatilia baada ya kugundundua wanaohusika na shughuli za kuandaa siyo watu makini na hiyo ndy imepelekea tuzo hz kupoteza mvuto.
Kila mwaka tuzo zao huwa ni madudu,niliacha kuzifuatilia tangu kipindi kile walipompa tuzo bushoke kwa wimbo wa juliana na bushoke!..
 
Back
Top Bottom