Duh! Kumbe Wakenya waliokamatwa upande wa Tanzania walikuwa wanawake wa jamii ya Kimaasai, ndio washachonganishwa hivi hivi

Duh! Kumbe Wakenya waliokamatwa upande wa Tanzania walikuwa wanawake wa jamii ya Kimaasai, ndio washachonganishwa hivi hivi

Dah! Huyo babayao255 huwa Mmaasai, siku zote nilijua Mgogo kwa namna huwa anapayuka chuki, sikujua ni mmoja wa walioathirika na huu utumwa wa kuwagawa ndugu.
Morani feki sana huyo wa kuficha ficha asili. Labda hata amechomwa alama za mviringo kwenye mashavu yote mawili na ana hadi mwanya kwenye meno. 😄
 
Tatizo la kuishi Buza siku zote hautoki kuna mambo haitokuja hata siku moja uyaelewe, tafuta Mtanzania anayetokea kwa jamii za mipakani kama vile Wanyasa, Wahaya, Wanyambo, Wamaasai, Wadigo n.k. akuambie namna wao huhusiana hayo maeneo. Ingekua mumekamata Mkenya aliyetokea huku kati, huyo fanyeni yenu, lakini hao akina mama mara nyingi utakuta wanakutana na kushirikiana kwenye mambo kama vicoba na mchana kila mmoja anarudi upande wake wa mpakani, sasa mkianza kuwavizia kihivyo kisa mihemko.
Mbona husikii hilo kutokea kati ya Tanzania na. Majirani wengine kama Malawi, Zambia, Uganda, Rwanda, Burundi au Msumbiji?, ninyi mnajifanya wajuaji lazima tuwakomeshe.
 
Unazingua eroo, wa-Arusha wamejaa Nairobi mitaa ya Kamukunji, kwa wingi. Tena wanaishi kitamaduni kabisa mjini na zile shuka zao za purple na hata vitambulisho vya nchi yao hawana. Acheni kukuza chuki za kipumbavu, hampo special kama mnavidhania. Toning'o roi?
Ole wenu muwasumbue, tutawasambaratisha kwa kuwafukuza zaidi ya wakenya 500K wanaoishi Tanzania
 
Morani feki sana huyo wa kuficha ficha asili. Labda hata amechomwa alama za mviringo kwenye mashavu yote mawili na ana hadi mwanya kwenye meno. 😄
kama UKABILA NI MZURI bakini nao nyinyi kima wa mathare ila sio umepewa lift kwa Tanzania's forum unataka upige na honi kbs nyan'gau wahed nyie
 
Serikali yetu ya Tanzania inatafuta choko choko za kipumbavu sana na mataifa ya jirani na nje. Kuna baadhi ya makosa yanahitaji onyo tu, sio lazima kila kitu kufanya komoa komoa.
Acha hizo wakenya walipowakamata warombo na kuwafunga huko kwenye mpaka wa Rombo mbona hukusema mapovu yako hayo? Au watz wakikamatwa huko Kenya na kufungwa ni sawa tu!
 
Baada ya mzungu kuchora mpaka wake katikati ya jamii ya Wamaasai na kusema wa huku waitwe Wakenya na walio upande wa pili waitwe Watanzania, ndugu kwenye hii jamii hawajawahi kubaguana, na hushirikiana sana kwenye baadhi ya mambo, maana hapo mpakani utakuta kunao watu wa koo moja, hata babu wao mmoja, ila mpaka wa mzungu umesababisha akitaka kwenda kumsabahi mjomba lazima avuke kwenda upande wa pili.

Huwa ni kawaida sana kuwakuta Wamaasai wa pande zote mbili wamekaa vikao vya kijamii wakishirikiana hata kwenye hafla yoyote ikiwemo harusi hata kwenye misiba.

Juzi akina mama wa hii jamii waliotokea upande wa Kenya walikamatwa na kutozwa faini ya mamilioni upande wa Tanzania, nimeshangaa sana maana nilijua ni akina sisi wa Nairobi waliosafiri na kuingia nchi ya watu kufanya biashara.

Hapo sasa nawaza mkao wa hiyo jamii mpakani, namna wataanza kutazamana, unakuta mtu mnaongea lugha moja, mila moja, hata mashuka mliovaa yanafanana labda hata tohara mumefanyiwa pamoja mlikwenda jando moja na mlichangia hadi ngariba mmoja ila kuanzia hapo ni mwendo wa kubaguana....mzungu balaa kweli katuachia hili na tukalipokea kichwa kichwa.

============================

d

Kenyan women who were jailed in Tanzania in March 2021

DAILY NATION
Kajiado Governor Joseph Ole Lenku hired a chopper and flew to the border town of Ilasit, Kajiado where he secured the release of 26 women who were jailed in Tanzania.

The Kenyan nationals were accused of illegally entering the neighbouring country without passports or other relevant documents. They were sentenced to 1 year jail term or a fine of Ksh23,600 (TSh 500,000) each.

Ole Lenku paid a total of Ksh1 million and secured their release, four days after they were sentenced.

Acha kulialia hilo liwe fundisho, ni lazima wafuate sheria za nchi yetu.
 
Lazima tuwashikishe adabu, wajinga sana ninyi.
Mnatushikisha adabu kwa kupiga kila mama mliomkamata faini ya shilingi 500,000 hela za madafu? Kisha mnajiona kaka sungura na eti hapo sasa ndio mmeuwaaa, wakati faini hiyo kwa KES ni shilingi 23,500 tu. Halafu kumbuka hapo mmewalisha, mkawanywesha na mkawapa hao kina mama sehemu ya mapumziko kwa siku nne! Hivi unajua wale wafugaji wa Kenya mliopiga ng'ombe wao mnada walilipwa na serikali ya Kenya fidia ya shilingi ngapi kwa kila ng'ombe aliyekamatwa? Hebu nieleze yule mwanabiashara mdogo mtanzania mliyemchomea vifaranga vyake, kisa alivinunua Kenya, yupo kwenye hali gani sasa hivi? Serikali yenu ya 'kibabe' haijui kushirikisha ubongo jombaa. Inaona sifa kuchapa hesabu za minus tu kama vijitoto vya shule ya chekechea
 
Baada ya mzungu kuchora mpaka wake katikati ya jamii ya Wamaasai na kusema wa huku waitwe Wakenya na walio upande wa pili waitwe Watanzania, ndugu kwenye hii jamii hawajawahi kubaguana, na hushirikiana sana kwenye baadhi ya mambo, maana hapo mpakani utakuta kunao watu wa koo moja, hata babu wao mmoja, ila mpaka wa mzungu umesababisha akitaka kwenda kumsabahi mjomba lazima avuke kwenda upande wa pili.

Huwa ni kawaida sana kuwakuta Wamaasai wa pande zote mbili wamekaa vikao vya kijamii wakishirikiana hata kwenye hafla yoyote ikiwemo harusi hata kwenye misiba.

Juzi akina mama wa hii jamii waliotokea upande wa Kenya walikamatwa na kutozwa faini ya mamilioni upande wa Tanzania, nimeshangaa sana maana nilijua ni akina sisi wa Nairobi waliosafiri na kuingia nchi ya watu kufanya biashara.

Hapo sasa nawaza mkao wa hiyo jamii mpakani, namna wataanza kutazamana, unakuta mtu mnaongea lugha moja, mila moja, hata mashuka mliovaa yanafanana labda hata tohara mumefanyiwa pamoja mlikwenda jando moja na mlichangia hadi ngariba mmoja ila kuanzia hapo ni mwendo wa kubaguana....mzungu balaa kweli katuachia hili na tukalipokea kichwa kichwa.

============================

d

Kenyan women who were jailed in Tanzania in March 2021

DAILY NATION
Kajiado Governor Joseph Ole Lenku hired a chopper and flew to the border town of Ilasit, Kajiado where he secured the release of 26 women who were jailed in Tanzania.

The Kenyan nationals were accused of illegally entering the neighbouring country without passports or other relevant documents. They were sentenced to 1 year jail term or a fine of Ksh23,600 (TSh 500,000) each.

Ole Lenku paid a total of Ksh1 million and secured their release, four days after they were sentenced.
Tanzania sometimes tunafanya mambo ya hovyo mnooo, hili halivumiliki kwakweli.

Miaka ya zamani tuliamini kuwa mapolisi wa Kenya ndio makatili sana kumbe hawa wakwetu ni zaidi
 
Back
Top Bottom