Duh! Kumbe Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman aliyekimbilia uhamishoni baada ya Mapinduzi mpaka mwaka 2021

Duh! Kumbe Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman aliyekimbilia uhamishoni baada ya Mapinduzi mpaka mwaka 2021

Wakati wazanzibari wanataka kujitenga msisahau kuna wapemba na waunguja, hawa waunguja wakiwa Bara wanasema wanaenda Zanzibari na wapemba wakiwa Bara wanasema wanakwenda Pemba.

Hapo tayari kuna mgawanyiko unao ongeza nyufa za matabaka ya kinchi, na ipo siku endapo Zanzibari ikijinasua kutoka JMT basi wapemba nao watapambana kutoka kwenye kifungo cha kutengwa kisaikolojia kama si kiuchumi.

👉🏾 Bado naendelea kujifunza.
 
..Sultani Jamshid baada ya kupinduliwa kwanini hakukimbilia Oman?

..Kwanini imewachukua muda mrefu Oman kumruhusu Sultani Jamshid kuweka makazi yake huko?

NB:

..Oman ni mali ya Zanzibar kwasababu ndio ilikuwa makao makuu ya Sultani mpaka alipofariki.

..Baada ya Sultani kufariki himaya yake ikagawanywa kwa hila na Oman ikaporwa.

cc Kibunango, Nguruvi3
Kwani kati ya Jamsheed na Shamte ni nani alikuwa na madaraka makubwa ya kiutendaji huko Visiwani kabla ya mapinduzi ?
 
Kwa vile baada ya Mapinduzi Waarabu hawakufukuzwa Zanzibar bali kimbia wenyewe, tumshauri Rais Samia, atoe msamaha wa jumla kwa Wanzanzibari wote walioikimbia Zanzibar, wako huru kurejea na kuja kuanza upya na sio kurejeshewa yale ma kasri yao bali warejee kwao walipo zaliwa, ili wakiitwa kutoka kwenye dunia hii, waondoke kwa Amani.
Rais Salimini Amur alishawakaribisha zamani sana. Hata kijukuu cha Princess Salme binti Said ambaye aliolewa na Mjerumani alikuja kutembelea Zanzibar na kupigiwa bonge ya shoo ya taarab.
 
Wakati wazanzibari wanataka kujitenga msisahau kuna wapemba na waunguja, hawa waunguja wakiwa Bara wanasema wanaenda Zanzibari na wapemba wakiwa Bara wanasema wanakwenda Pemba.

Hapo tayari kuna mgawanyiko unao ongeza nyufa za matabaka ya kinchi, na ipo siku endapo Zanzibari ilijinasua kutoka JMT basi wapemba nao watapambana kutoka kwenye kifungo cha kutengwa kisaikolojia kama si kiuchumi.

👉🏾 Bado naendelea kujifunza.
Hapa naeleza kama historia tu nisijeambiwa nataka kutenganisha visiwa hivi viwili vikubwa.

Pemba ilikuwa chini ya utawala wa Mazrui wa Mombasa mpaka alipokuja huyo Seyyid Said kutoka Oman na kupigana na Mazrui na kuwashinda ndiyo akakiweka chini ya utawala wake pamoja na Zanzibar.

Hiyo ilikuwa (kama sijakosea) 1820 kabla hata ya kuhamisha makao yake makuu Unguja.

Mabaki ya utawala wa Mazrui bado yapo Pemba kaskazini.
 
Kwani kati ya Jamsheed na Shamte ni nani alikuwa na madaraka makubwa ya kiutendaji huko Visiwani kabla ya mapinduzi ?

..nadhani katiba yao ilikuwa inamtambua Sultani pamoja na kwamba Waziri Mkuu ndiye aliyekuwa akiongoza serikali.

..nakushauri utafute taarifa za Znz kujiunga na umoja wa mataifa utaweza kujua walikuwa na utawala wa aina gani.
 
Hapa ndipo ugomvi wa muungano ulipo.ila usisahau yule Bibi wa uingereza anasema tanganyika na Zanzibar ni zake.kwa hyo muungano hataki uvunjike mtavunjika nyie muungano utabaki
Tang na znz ni zake wakt zilishapata uhuru mwaka 61 😀😀😀
 
Wakati wazanzibari wanataka kujitenga msisahau kuna wapemba na waunguja, hawa waunguja wakiwa Bara wanasema wanaenda Zanzibari na wapemba wakiwa Bara wanasema wanakwenda Pemba.

Hapo tayari kuna mgawanyiko unao ongeza nyufa za matabaka ya kinchi, na ipo siku endapo Zanzibari ikijinasua kutoka JMT basi wapemba nao watapambana kutoka kwenye kifungo cha kutengwa kisaikolojia kama si kiuchumi.

👉🏾 Bado naendelea kujifunza.

Mkuu unajidanganya sana, Wapemba hawawezi kujitenga na Zanzibar, Mana Bila ya Muungnao Zanzibar lazima itaongozwa na wapemba.
 
Nyie watoto manunda kweli kweli.
Historia hamsomi?
Kwani mapinduzi ya 1964 mnafikiri yalikuwa nani kumpindua nani?
Hivyo vitabu vy historia vya kwenye syllabus kuna sehemu vinasema Sultan aliyepinduliwa alikuwa bado sultan wa Zanzibar uhamishoni Uingereza?
 
Hivyo vitabu vy historia vya kwenye syllabus kuna sehemu vinasema Sultan aliyepinduliwa alikuwa bado sultan wa Zanzibar uhamishoni Uingereza?
Usultani ni himaya, kama Mkuu wa Mkoa.
Kama huna mkoa utaitwaje Mkuu wa Mkoa?
 
Msilete longolongo rudisheni kilomita kumi kuanzia kenya hadi Ntwala,Ukanda wa kilomita kumi ni milki ya Zanzibar,pato mnalopata kutokana na ukanda huo ni pato la haramu na ndio maana Tanzania haiendeleinyote mnajua hela inayopatikana kwa njia za haramu haidumu na haina faida,mnaona masonga mbele kumbe mna ludi nyuma.
 
Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa?

'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with Tanganyika to form the Republic of Tanzania.

The last sultan of Zanzibar retired in Oman in September last year after more than 50 years in exile in the UK.'

==========

Samia Suluhu Hassan became president of Tanzania on Wednesday after the death of John Magufuli and news of her inauguration was welcomed by some Omanis.

She is not only the first female president of Tanzania, but the first leader of the country born in the semi-autonomous archipelago of Zanzibar.

We are all proud of her. She is a living example of the deep ties between Oman and Zanzibar
She also has links to Oman through her paternal grandfather, who was born in the eastern town of Al Mudhaibi.

Her relatives in Oman are proud of her.
"We never expected her to become president of Tanzania and that is the reason she is now the centre of euphoria in Mudhaibi, a town where her grandfather was born," a cousin and resident of the town, Mohammed Al Naamani, told The National.

“The last time she visited Oman was in 2016 and she came right here in Mudhaibi to see us. After that, due to her busy political life, she could not make it again.”

Ms Hassan, 61, served as Magufuli’s vice president and last year the pair were re-elected for another five years.

Under the constitution, she will complete the rest of the term in the top job.

Khadija Al Ghaithi, a retired civil servant in Muscat, went to school with Ms Hassan in Zanzibar and said they exchanged messages last week.

"I was expecting her not to answer her WhatsApp messages because of her new powerful position. But she answered my messages of congratulations very warmly. That shows how humble she still is and that power did not get into her head," she said.

U6VPROBIL4GULEHNEJY63UX7CQ.jpg
Ms Al Ghaithi said she went to school with Ms Hassan when they were 12 years old and kept in touch over the years.

“She was a high achiever in class and very good at communication. She was also always ready to help her friends with anything," Ms Al Ghaithi said.

"I am personally proud of her as a friend but not at all surprised that she made it to the top in her political career."

It was not only those who personally knew her who had warm words.

Residents of Al Mudhaibi rejoiced at her new status, despite having never met her.
"I know her family in Al Mudhaibi but never met her personally when she came here to visit them. But the whole town is talking about her," Ahmed Al Sinawi, 58, told The National.

“We are all proud of her. She is a living example of the deep ties between Oman and Zanzibar, tying the two countries together in our common heritage. I really hope she will be back in town to visit us again."

Camel breeders in Al-Mudhaibi. Saleh Al-Shaibany for The National

Camel breeders in Al Mudhaibi. Saleh Al Shaibany for The National

Some people from Zanzibar consider Oman to be their ancestral home. It was ruled by Oman between 1698 and 1890 and during that time, a large number of Zanzibaris emigrated.

In 1890, Zanzibar became a British protectorate and was ruled by local sultans, who all had Omani ancestry.
The last sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with Tanganyika to form the republic of Tanzania.

The last sultan of Zanzibar retired in Oman in September last year after more than 50 years in exile in the UK.

Source: www.thenationalnews.com
Retire hii haina maana ya kustaafu.
 
Siyo kwamba Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman. Ukweli ni kuwa:

Oman iliifanya Zanzibar kuwa sehemu ya Oman, sawa na Ureno ilivyoifanya Mozambique kuwa jimbo la Ureno.

Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman, na Zanzibar ndiyo yalikuwa makao makuu ya Sultan wa Oman, akitawala Oman yote, pamoja na Zanzibar.
Baada ya Seyid Said watoto wake waligombana,ikabidi wagawane,mmoja akabaki kutawala Oman mwingine Zanzibar.Wakawa mahasimu na ndo maana Jamshid alishindwa kuingia Oman hadi 2021.
 
Oman ni ndugu zetu. Ule uasi wa mwaka 1964 uliofanywa na mganda John Okello na wenzake waliopewa silaha na Nyerere ili waje kuuwa ndugu zetu tunaupinga na tunaulaani.
 
Msilete longolongo rudisheni kilomita kumi kuanzia kenya hadi Ntwala,Ukanda wa kilomita kumi ni milki ya Zanzibar,pato mnalopata kutokana na ukanda huo ni pato la haramu na ndio maana Tanzania haiendeleinyote mnajua hela inayopatikana kwa njia za haramu haidumu na haina faida,mnaona masonga mbele kumbe mna ludi nyuma.

..hata Oman ni mali ya Zanzibar.

..Oman ilitenganishwa na Zanzibar kwa HILA baada ya Sultani kufariki.

..ukanda wa Pwani wa kilomita 10 uliuzwa kwa Wajerumani na mmoja wa Masultani wa Zanzibar. Kwa msingi, huo ni sahihi ukanda huo kuwa miliki ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom