Duh! Licha ya Tz kutuuzia mahindi mengi, ila uuzaji wa mazao ya kilimo nje ya nchi umeshuka 55%

Tungekufa maskini lakini nyinyi mngekufa njaa 😀
 
Mahindi hayahusiki hapo, toka lini BoT ikadeal na mahindi? Hivi pale Namanga au Holili au Horohoro kuna ushuru wowote wauzaji wa mahindi Kenya hutozwa? Mkulima akishavuna mahindi yake yupo huru kusafirisha kiasi chochote na kupeleka sehemu yoyote bila serikali kumtoza makato yoyote (hata ikizidi tani 1 bado atatozwa vijisent mbuzi tu ambavyo havifiki hata Halmashauri achilia mbali BoT)

Kwa hivyo hizo hesabu hazihusu kabisa mazao yoyote ya chakula.
 
Wewe ni mjinga sijui kama unalifahamu hilo,
Article imezungumzia Cash crop ya cashew nuts alafu wewe unaandika eti mahindi yamefanyaje,
Punguza shobo za kijinga.

Sitoweza kukufundisha kingereza, itabidi nikate tamaa....
'Cash crops' ipo ndani ya 'Agricultural exports', mahindi ni mojawapo wa kitu kinachoitwa 'regulated agricultural exports' maana ni 'food crop' na nyie mnaitumia kama 'staple food', kwa hivyo inakua exported wakati ipo 'surplus'.
Korosho mnaikuza kama 'cash crops' ambavyo vyote vinafahamika kama 'Agricultural exports', sasa mauzo yenu ya 'Agricultural exports' yameshuka 55%
 
We kubali umedandia treni kwa mbele bhna acha kujitetea, hzo ni data kabla ya mauzo ya korosho ambazo zishauzwa kama 700+M we umedandia tu huko habar kuleta huku. Afu kumbuka propaganda zenu za kuichafua Tz ili mpate watalii zimefeli, 2020 Tz tunahit 3+Bln kutoka kwe utalii while kwenu utalii utazidi kudecline. Am sorry broh
 
Wewe kubali tu umedandia treni usiyo jua inaenda wapi,
Na huu ni ukweli umethibitisha kuwa wakenya mnatumia makwapa kufikiria,
Wewe kubali tu umekosea 😂😂😂maana hutochapwa,
Article inazungumzia Cash crop wewe unaleta habari za 🌽.
 
Atuambie ile Ebola imefika wapi
 

Sasa mumehamia kwa watalii, mumetafuta pakutokea....ila ndio hivyo, mkae mkijua sisi ndio wakombozi wenu hataa mkijipiga kifua kivipi.
 
Hahaha kwa hiyo unataka kusema BoT ina reserves ya Kenyan shillings kwenye mazao? Kwani huwa hao wafanyabiashara wa mahindi wanaowauzia ninyi ni mawakala wa BoT,

Cash crops zote Tanzania ndio husimamiwa na board ya zao husika na serikali ndio husimamia mwanzo mwisho uuzaji wa hayo mazao, maana yake mnunuzi yeyote haruhusiwi kununua mazao kwa mkulima bali kwenye vyama vya ushirika tu chini ya serikali.

Angalia huyu kataifishiwa mzigo wote alionunua kwa mkulima direct (magendo) sababu ni kinyume na sheria, je mahindi au mchele nayo huwa hivi?

 

Narudia tena, katafute nini maana ya 'Agricultural exports'
 
Tatizo sio maana ya 'agricultural exports' bali Tatizo ni context yake ina discourse gani kwenye eneo gani.

Umekariri

Usihangaike kutafsiri nje ya kilichoandikwa na kuongeza maneno yako.
 
Ujinga wa watanzania ndio mtaji pekee uliobakia kwa CCM. Maana mtu mjinga hataelewa habari kama hizi hata kidogo, yeye anajua tu CCM ni chama changu. -@namahalasalum. Sio maneno yangu, nimeyanukuu moja kwa moja kutoka kwenye comment za taarifa hiyo. Comments za baadhi ya watz kwenye uzi huu zinadhihirisha wazi huo ujinga ambao umetajwa hapo.
 
Msifosi kenge kuwa mamba.
Agricultural exports zinazozungumziwa kwa sera ya Tanzania ni cash crops.
Usihusishe mahindi ktk cash crops.
Mmebugi sana ktk hii taarifa.
Na kama hamjui Serikali yenyewe ilitangaza imepata hasara ya $500+ millions kwa kukosa kuuza korosho kwa msimu huu kipindi bado hazijauzwa.
Inamaana tukirejelea hii taarifa ni kwamba korosho ndio zimeshusha mapato ya mazao ila sio mahindi.
Msifosi vitu ninyi.

Huyo ana haki yake ya kusema atakalo maana hata Uhuruto mlevi ila wapo wanaompenda.
 
Kwahivyo kwa sera ya Tz cash crops sio agricultural exports? Watu kama wewe ndio walienda shuleni kuvunja madirisha.
 
Kwahivyo kwa sera ya Tz cash crops sio agricultural exports? Watu kama wewe ndio walienda shuleni kuvunja madirisha.
Baba ako aliuza ng'ombe moja ili apeleke ng'ombe wewe shule kumbafu.
Kwani cash crops si ndio agricultural exports tunazozizungumzia???
Agricultural products tunazo export Tz mostly ni cash crops.
Na kwa minajili ya habari mloleta agricultural product ambayo iliathiri percentage of agricultural export ni cashew nuts ambazo ndio cash crops zinazochagiza mapato makubwa ktk agricultural exports.
Ninyi kuhusisha mahindi mmekosea.
Korosho ndizo zilizoshusha mapato ya $ 500+ millions ambazo tunazozizungumzia hapa.
Wala sio mahindi.
Sijui ulikuwepo serikali ikilizungumzia hili???!!!
Asa hayo mahindi sijui yameingiaje.
Nadhani hapo umenielewa.
 
Kweli mtu akishiba anasahau kila kitu

Tunawalisha sisi mnashiba mnaanza dharau sasa bila sisi hamuwezi kuwa na maendeleo unasahau umbwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli mtu akishiba anasahau kila kitu

Tunawalisha sisi mnashiba mnaanza dharau sasa bila sisi hamuwezi kuwa na maendeleo unasahau umbwa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]

Maskini akipata huwa ni tatizo, sisi tunajaribu kuwatoa kwenye umaskini kwa kuwapa vihela vya mahindi kisha mnaeta dharau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…