Wapi zimetofautiana, tatizo lenu kingereza huwapa changamoto sana.
Uuzaji wa mazao ya kilimo kwenu umepungua asilimia 55% yaani kwa mwaka 2019 mumeuza nje $508.8 million kutoka $1.129 billion za hapo awali, hii imechangiwa na vurugu zenu kwenye korosho.
Hizi ni takwimu za mauzo ya kilimo chote bila kuchagua aina gani ya mazao, hivyo kama mumedondoka vyote hivyo ukizingatia Kenya walinunua sana kutoka kwenu, ina maana tungeelekeza pua kwengine kama vile Zambia mngeteseka sana.
Najua napiga ngitaa ambayo hauna uwezo wa kuelewa wala kufahamu kinachozungumzwa kuhusu, ndivyo mlivyo watu wa mapambio.