Ambao bado hatujaoa kazi ipo,dunia inaelekea ukingoni jamani! Wanawake wanataka waolewe na waume kibao ndio waridhike?
kwani siku hzi kuna mwanamke mwenye wanaume 3?.me ninavyojua wanaume ndo wanaoa wanawake 3 na kuendelea sema siku hz maisha yamekuwa magumu unamkuta mwanamke kaolewa lakn bado ana hawara wa kumsaidia.. Hii yote inaletwa na kitu PESA WALA C MAPENZ KAMA WENG WANAVYODHAN..Tehe tehe tehe !!! Oa tu si wanakusaidia kutunza . Maisha magumu sana siku hizi.