Nimetumiwa message ina maneno makali kweli halafu mwisho nimeambiwa "I am lettin you go" ikafuatiwa na neno bye.............Hiki si kibuti jamani? Does this mean i am single again? Mnataka kujua sababu? Sijapiga simu kwa kama siku tano hivi coz i just wasn't in the mood....
Hahahahaaa hapo kwenye experience sitii neno maana ni bonge la mjadala.................kama kwenye mapenzi kuna experience ama la
Mhm!Hapo huna chako na tafuta ustaarabu mwingine maana kwa hakika pilau limeingia mchanga haliliki tena.15 days in total!
DUH haya, yaani kama yale matairi tunayonunua petrol station ambayo wenye nazo wametoa kwenye magari yao eeh?mkuu ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo......... tafuta ka spear tairi pembeni ka muda kikinuka unaamishia majeshi moja kwa moja kama sio kibuti unakula kote kote