Duh! Nahisi kama nimepigwa kibuti.........

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Nimetumiwa message ina maneno makali kweli halafu mwisho nimeambiwa "I am lettin you go" ikafuatiwa na neno bye.............Hiki si kibuti jamani? Does this mean i am single again? Mnataka kujua sababu? Sijapiga simu kwa kama siku tano hivi coz i just wasn't in the mood....
 
kwa vyovyote vile hujafikisha miaka 30....

uko below 30
 
Nimetumiwa message ina maneno makali kweli halafu mwisho nimeambiwa "I am lettin you go" ikafuatiwa na neno bye.............Hiki si kibuti jamani? Does this mean i am single again? Mnataka kujua sababu? Sijapiga simu kwa kama siku tano hivi coz i just wasn't in the mood....

Labda na yeye kaingia kwenye mood kama wewe ulivyokuwa kwenye mood! Vumilia, akitoka kwenye mood atakutafuta.
--Hainiingii akilini kuwa ukiwa kwenye mood ndiyo hupaswi kumpigia simu au kupokea simu ya mpenzio--
 
ukikosa mood ndo usipige cm? nyie ndo wale kama umeudhiwa kazini hata nyumbani utaki maongezi tena. jirekebishe ongea na mwenzako kuhusu kichokupata na hii itasidia kukuondolea stress.
 
kuna vitu unajifunza by experience
kuambiwa tuachane,au sasa basi niache na mwanamke ni kitu cha kawaida
mtafutie zawadi yataisha
Mkuu thanx alot,
 
Labda na yeye kaingia kwenye mood kama wewe ulivyokuwa kwenye mood! Vumilia, akitoka kwenye mood atakutafuta.
--Hainiingii akilini kuwa ukiwa kwenye mood ndiyo hupaswi kumpigia simu au kupokea simu ya mpenzio--
Wasn't = Sikuwa
 
Kaa kama siku nyingine tano hivi bila kuwasiliana na uone itakuaje then anza kumbembleza kwa siku tano mfululizo na ukiona hakuna dalili za mafanikio basi ujue huna chako kwake.
 
Welcome, but SINGLE with EXPERIENCE hahahahaaaaaaaa
Hahahahaaa hapo kwenye experience sitii neno maana ni bonge la mjadala.................kama kwenye mapenzi kuna experience ama la
 
Kaa kama siku nyingine tano hivi bila kuwasiliana na uone itakuaje then anza kumbembleza kwa siku tano mfululizo na ukiona hakuna dalili za mafanikio basi ujue huna chako kwake.
15 days in total!
 
Hahahahaaa hapo kwenye experience sitii neno maana ni bonge la mjadala.................kama kwenye mapenzi kuna experience ama la

Ofcoz ukirudi hutarudia makosa madogo madogo ambayo hua wanayachukuli kama kuua
 
mkuu ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo......... tafuta ka spear tairi pembeni ka muda kikinuka unaamishia majeshi moja kwa moja kama sio kibuti unakula kote kote
 
15 days in total!
Mhm!Hapo huna chako na tafuta ustaarabu mwingine maana kwa hakika pilau limeingia mchanga haliliki tena.
Ila siku nyingine jifunze kuwajibika kwa mwenza wako,pole sana.
 
mkuu ukiona manyoya ujue keshaliwa huyo......... tafuta ka spear tairi pembeni ka muda kikinuka unaamishia majeshi moja kwa moja kama sio kibuti unakula kote kote
DUH haya, yaani kama yale matairi tunayonunua petrol station ambayo wenye nazo wametoa kwenye magari yao eeh?
 
Uko single mzee na Love Connect sasa inakuhusu
 
Nimetumiwa message ina maneno makali kweli halafu mwisho nimeambiwa "I am lettin you go" ikafuatiwa na neno bye.............Hiki si kibuti jamani? Does this mean i am single again? Mnataka kujua sababu? Sijapiga simu kwa kama siku tano hivi coz i just wasn't in the mood....

Hope that message puts you in the mood ! kwi kwi kwi......
 
Back
Top Bottom