tinno criss
Senior Member
- Jul 3, 2015
- 112
- 56
Nipozangu FB. nimemskia Baba Nje Akisema, Ivi We Mama TINNO! hicho Chumba Cha Tinno Ningelikua Nimepangisha Siningelikua Napata Hela??
Leo Nalala Kibishi Ili Nikaangalie Msimamo Wake Kwa Kesho, Maana Nahisi Kwamba Huenda Kalewa,
Leo Nalala Kibishi Ili Nikaangalie Msimamo Wake Kwa Kesho, Maana Nahisi Kwamba Huenda Kalewa,