Duh! Poleni Watz kumbe ndege iliyokamatwa hutumika na mkulu na imemkwamisha kwenye safari zake za kimataifa

Duh! Poleni Watz kumbe ndege iliyokamatwa hutumika na mkulu na imemkwamisha kwenye safari zake za kimataifa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mawakli walioenda kutetea ili ndege iachiwe wametoa baadhi ya sababu ikiwemo kwamba eti ndege yenyewe hutumika na rais na imesababisha shughuli za rais za kimataifa kukwama. Jameni hawa Wasouth sio watu wazuri, yaani wakupe uongozi wa SADC kisha wakukwamishe kwa kukamata chombo cha usafiri wako.

Hawakumbuki kwamba mliwakomboa na kuikomboa Afrika.
Japo pia ni suala la aibu na hatari kwa ndege ya mkulu kuachiwa ikamatwe kizembe hivyo, yaani sasa ipo mikononi mwa Wasouth....yaani Afrika bana
--------------------------------------

TANZANIA has asked South Africa’s High Court—Gauteng Local Division—to treat with extreme urgency the application for release of Air Tanzania Company Limited’s (ATCL)aircraft in South Africa.
Advocate Victor Nkhwashu, an appointed attorney for the government in the matter has provided reasons in an affidavit to justify the urgent hearing and determination of the application by the South African court.
Advocate Nkhwashu stated in the affidavit that the seized aircraft is used by the President of the United Republic of Tanzania.
Presently, the advocate stated, the head of state was unable to meet his international obligations due to the plane grounding at OR Tambo International Airport.
 
Afadhari sisi imekamatwa ndege ya rais vipi nyie kipindi kile rais wenu na makamu wake walipokuwa na kesi kule kwa mabeberu
 
Afadhari sisi imekamatwa ndege ya rais vipi nyie kipindi kile rais wenu na makamu wake walipokuwa na kesi kule kwa mabeberu

Hehehe!! Hivyo hatuchekani maana nyie jameni mkulima anakamata ndege ya mkulu, yaani huyo mkulima hatanii...
Hao mawakili wenu nahisi wana matatizo ya kitaaluma, habari kama hizi sio za kuanika kijinga hivyo. Wangetetea ndege kivingine bila kutaja ikulu.
 
Mi mwnywe nashangaa...watanzania sijui wanakwama wapi walai...si mitandaoni pekeake...huo ndio uhalisia wao...vitu wanvyoongea haswa...utashangaa haswa..mawazo finyu kabisa...halafu mtu atabishana hadi uchoke
Hao mawakili sijui kipi kimewaingia waanike aibu hiyo.
 
Eti GOT inaieleza mahakama ya S.Africa iachilie ndege yao kwa dharula kwasabu eti ndege yenyewe ndio huwa inatumiwa na rais. Alafu wanaona sifa kusema kwamba kushikiliwa kwa ndege kunakwamisha hadi shughuli za ikulu. [emoji1] Chanzo cha habari, .co.tz na kuna watu kwenye uzi huu ambao tayari wameanza kuwalaumu wakenya.
 
Hao wapotezee, hulaumu Kenya na Wakenya kwa masaibu yao yote, na lolote mbaya likitendekea Kenya, wao huwa wa kwanza kulishabikia kwenye nyuzi kadhaa, hupigana vikumbo kila mmoja akijaribu kuanzisha uzi, lakini wakitajiwa yao moja mbaya wanang'aka hadi utawahurumia.
 
Back
Top Bottom