Duh,siamini!

Muntu Ya Pori

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
222
Reaction score
64
Wanajf pamoja na kuwa na cheti hiki, priority kozi na uchumi duni wa familia yangu Heslb wamenibania
 
Attachments

  • certificate.jpg
    311.5 KB · Views: 158
dah usikate tamaa sema hawa jamaa siwaelewi hata mimi ya dah ila nakushauri ukomaee
 
Wanajf pamoja na kuwa na cheti hiki, priority kozi na uchumi duni wa familia yangu Heslb wamenibania

Factors ziko nyingi za kukuchomolea, Lete vyeti vingine e.g ulisomea private schools/au government schools? N.k
 
Factors ziko nyingi za kukuchomolea, Lete vyeti vingine e.g ulisomea private schools/au government schools? N.k

nimesoma Tunduru ss o'level. na Milambo hs.Zote za serikali,ila nimemaliza form six 2009
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
Namba ya Rais kuipata si kazi nyepesi ila ya waziri mkuu unaweza kuipata kwenye orodha ya wabunge na namba zao za simu.ila labda nikupe namba za watu wa karibu sana na hao watu ambao pia wanaweza au wasiweze kukuunganisha na unayemuhitaji labda wakufikishie ujumbe kwake. Ila ujumbe hautakuwa kama ule ambao ungeutoa mwenyewe. unahitaji ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…