Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajf pamoja na kuwa na cheti hiki, priority kozi na uchumi duni wa familia yangu Heslb wamenibania
Factors ziko nyingi za kukuchomolea, Lete vyeti vingine e.g ulisomea private schools/au government schools? N.k
Namba ya Rais kuipata si kazi nyepesi ila ya waziri mkuu unaweza kuipata kwenye orodha ya wabunge na namba zao za simu.ila labda nikupe namba za watu wa karibu sana na hao watu ambao pia wanaweza au wasiweze kukuunganisha na unayemuhitaji labda wakufikishie ujumbe kwake. Ila ujumbe hautakuwa kama ule ambao ungeutoa mwenyewe. unahitaji ni pmJamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.