Duh!, songi jipya la msanii wa vichekesho Mkali Wenu

Duh!, songi jipya la msanii wa vichekesho Mkali Wenu

Huyu jamaa sasa anaboa, me nlikua nshaanza kumuelewa lkn sa iv aaarrghhhh [emoji19][emoji19][emoji19]
 
Basata watafanya yao...
Likipigwa kwenye vituo vya redio watafanya yao mapema, kwanza hata kwenye maredio watajishtukia kuipiga. Basata wataichimbukia hukuhuku YouTube
 
Huyu jamaa sasa anaboa, me nlikua nshaanza kumuelewa lkn sa iv aaarrghhhh [emoji19][emoji19][emoji19]
Jamaa ni mkali, wakongwe wa comedy waliolala, wataamka sasa, anaonyesha uwezo wa kuvumbua upekee ambao wasanii wakubwa hawana
 
Vijana wa rumumba humu jf ndo wanaongoza kwa kujamba pumba!!
 
Kwan jamani nyie hamjambi mbona mnapinga sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Huyu jamaa kuchekesha hajui..Huku kwenye mziki ndo sifuri kabisa
 
Back
Top Bottom