Duh! Tanzania sasa kucheza na Algeria, wale waarabu waliowahi kuwapiga mabao saba

Duh! Tanzania sasa kucheza na Algeria, wale waarabu waliowahi kuwapiga mabao saba

Bashite ametuaribia radha ya mechi aise bt
All in all Kenya kuwafunga tz kunafanya mechi ya Kenya na Senegal kuwa mechi ngumu zaidi kwenye hii hatua ya makundi so wacha tuone
 
Wakenya Tuliwashika mpaka Wanyama akawa na hofu.
Tatizo letu Hatuna potential reserve ya Wachezaji
Baada ya Kuumia
1. Erasto Nyoni
2. Kutolewa Mudathir
Basi Timu ikawa imeelemewa.
Though Kuna wachezaji experienced walikua huku Tz Wana watch game na Wake zao coz AMUNIKE hakuwaita. like, ( Mkude, Banda, Mohamed Hussein, Hajibu)

The game had stiff competition and very entertaining!!!
 
CCM ndio wamefungwa sio watanzania we vepee?
Hii hatari kwa kweli yaani, mpokee kipigo cha Senegal, mje mcharazwe na Kenya, huku bado mnauguza maumivu mnapangwa dhidi ya Algeria, ambao mna historia mbaya sana nao, poleni sana majirani, nashindwa hata kuwaza mnachohisi.
Hapo Bongo wanangu/washkaji hawataki hata kunijibu kwenye Whatsapp......
 
wee Kikuyu tuondolee shombo zako hapa.

Watz hatukupeleka timu AFCON, ile timu yaitwa Bashite. ni vile venyee hamjuangi tu!
 
Sasa kama Tz already wapigwa 3 first half, si watachapwa zingine mbili second half, Kenya we are playing well but not testing the keeper
 
Sasa kama Tz already wapigwa 3 first half, si watachapwa zingine mbili second half, Kenya we are playing well but not testing the keeper
naona tupande ndege moja turudi wote ,au unaonaje mkitua kia mkakatizia short cut apo taveta
 
"Wakenya wana wivu balaa, walipotoka half time wakasikia sisi tumeshapigwa 3, basi na wao chap chap wakaona wapigwe 3!" alisikika mlevi mmoja akisema kwa huzuni... 😞😞😞
 
Back
Top Bottom