Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
Hii hatari kwa kweli yaani, mpokee kipigo cha Senegal, mje mcharazwe na Kenya, huku bado mnauguza maumivu mnapangwa dhidi ya Algeria, ambao mna historia mbaya sana nao, poleni sana majirani, nashindwa hata kuwaza mnachohisi.
Hapo Bongo wanangu/washkaji hawataki hata kunijibu kwenye Whatsapp......
wee Kikuyu tuondolee shombo zako hapa.Hii hatari kwa kweli yaani, mpokee kipigo cha Senegal, mje mcharazwe na Kenya, huku bado mnauguza maumivu mnapangwa dhidi ya Algeria, ambao mna historia mbaya sana nao, poleni sana majirani, nashindwa hata kuwaza mnachohisi.
Hapo Bongo wanangu/washkaji hawataki hata kunijibu kwenye Whatsapp......
Timu ni tatu zinafuzu na Tanzania sio moja wapo ππππTutawapa lift tutaondoka wote, KQ zenu zitakua garage
Timu ni tatu zinafuzu na Tanzania sio moja wapo ππππ
Hadi mapumziko tumeshakula 3, sijui zikifika dakika 90 tutakula ngapi? I hope Harambee Stars wataungana na The Cranes kwenye 16 bora...Aisee!
Atleast Wakenya mmetoa gundu, sisi timu yetu inaonekana ilikwenda kutaliiSasa kama Tz already wapigwa 3 first half, si watachapwa zingine mbili second half, Kenya we are playing well but not testing the keeper
Sasa kama Tz already wapigwa 3 first half, si watachapwa zingine mbili second half, Kenya we are playing well but not testing the keeper
adapt the situationIt has clearly been a difficult week to be a Tanzanian
naona tupande ndege moja turudi wote ,au unaonaje mkitua kia mkakatizia short cut apo tavetaSasa kama Tz already wapigwa 3 first half, si watachapwa zingine mbili second half, Kenya we are playing well but not testing the keeper