Duh! Umaarufu wa rais Magufuli umeshuka 41% kwa miaka miwili

Polepole nae kwa mtu mwenye akili timamu unakaa unamsikiliza??? Kama polepole peke yake ndie aliyempigia kura basi kaa umsikilize mwenyewe otherwise tafuta maana ya “the voice of citizens “ ukiipata toa huu ushuzi hapa.

Eeeeeeeeh
Umemsikiliza na kuishia kulia kwa jinsi ambavyo upinzani mko ndani ya kaburi tayari..
Lazuma unapata tabu sana ulipo..
 
Eeeeeeeeh
Umemsikiliza na kuishia kulia kwa jinsi ambavyo upinzani mko ndani ya kaburi tayari..
Lazuma unapata tabu sana ulipo..
Nimeona jina lako kwenye report ya TWAWEZA lipo katika wale 55% wenye UKOMA wa UBONGO..
Kumbe ndio maana kichwa chako kinatingishika wakati wote..
Ukoma wa Ubongo mbaya sana.
 
Bora msikilize haya kabla hamjadakia





Ila twaweza huwa watu wa kwenda na kutafuta kiki tu.. wanakaa wanatunga.. kuna nani amewahi jibu maswali yao ya utafiti?

Wakenya sikilizeni hizi clips, mpate angalau picha kidogo ya siasa za bongo.
 
Someone said "I don't hate politicians because they are the by-product of their own societies" Magufuli anawakilisha aina ya watu walioko kwenye jamii ya TZ. Wabongo wengi hasa wale CCM wako na brain kama ya Magufuli "desperate, schizophrenic, hypocritical, volatile and hateful" ndiyo maana hata baada ya mabaya yake yote bado anaungwa mkono asilimia 55%, huyu hapa ni dikteta halafu. Smh
 
Alar! Huu ukweli uchungu sana kwa mTZ
 
hayo in mawazo yako ila magufuli ni raisi wa kipekee ambaye utaitaji akili nyingi il uweze kumuelewa anachofanya katika nchi yetu

BRAVO MAGUFULI
 
Mbona unaandika upupu mkuu??
 
Tuondolee uwongo wako hapa!
 
Indeed
Remain blessed
 
Bora msikilize haya kabla hamjadakia





Ila twaweza huwa watu wa kwenda na kutafuta kiki tu.. wanakaa wanatunga.. kuna nani amewahi jibu maswali yao ya utafiti?

Vichwa vyao ni shida!
 
Mbona unaandika upupu mkuu??
Mkuu twaweza wanao mlengo wao, nao ni binadamu pia, wanafanya kwa niaba ya walio na maslahi yao! SIyo lazima ziwe na uhalisia. Hata hivyo, nimesema, hizo takwimu kwangu hazina msingi wowote maana hazinibadilishi juu ya kumkubali kwangu rais wetu! Kama mtanzania, nina wajibu wa kumpa ushirikiano kiongozi wetu huyu, na hata kumuombea hekima kama Suleiman alivyoomba na kuipata. Ni mtazamo wangu...siwezi rusha ngumi kama wako upo tofauti! Half full or half empty!
 
Tusikilize upuuzi gani wewe jainamke la lumumba?

Ha ha haaa Upepo

Bado hujafukiwa tu huko mliko ndani ya futi 6

Ha ha haaaaa

Umesikiliza umebaki kuchanganyikiwa zaidi.. unaishia kuandika uongo.. eeeeh
 
Wakenya sikilizeni hizi clips, mpate angalau picha kidogo ya siasa za bongo.

Hizi clips ni one sided, mumenyofoa maoni ya hao wengine. Pili kumskliza huyo jamaa anayeitwa Polepole ni kama kumskliza Dennis Itumbi wa Kenya, yeye husifia rais Uhuru na Jubilee hata kwa vitu ambavyo ni pumba, wachumia tumbo siwezi kutumia analysis zao....jiongeze
 
Ndio maana alipata hizo 55, kama wasingekuwepo wa kukubali kama wewe, hizo 55 asingepata, angepata 0.

Bado yupo vizuri masna 55 ni zaidi ya nusu. Kwa ninavyoona trend, kuna uwezekano wa kushuja zaidi. Ila before uchaguzi, lazima atapanda tena na kufikia walau 60.

Ndivyo ninavyoona mimi. Lazima atafute namna nyingine ya kukubalika
 
Nini kifanyike kupandisha umaarufu wake?
 
Mbona huyu President sijawahisikia ameenda Africa Kusini hivi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…