Duh! Umaarufu wa rais Magufuli umeshuka 41% kwa miaka miwili

sijui kama nimekuelewa mkuu!
 
Umesikiliza lakini? Na una habari jubilee wanachukua tutorials from ccm. Kama hutaki msikiliza huyo, basi subiri 2020, utasikia tena. Ccm wataishika hii nchi for a very long time. Its one amongst the best political party in africa, credits where ts due
 
Pamoja na mapungufu yake to me he remains the best president, Kama unataka malaika akutawale endelea kusubiri. Hapo ulipo hata wewe una mapungufu, kama haya uliyoyabainisha kwenye hii post.
 
Pamoja na mapungufu yake to me he remains the best president, Kama unataka malaika akutawale endelea kusubiri. Hapo ulipo hata wewe una mapungufu, kama haya uliyoyabainisha kwenye hii post.

Wabongo bwana, you never cease to amaze me.
 

Wangethubutu kuiga CCM hawangetawala hata mwaka mmoja, kuna vitu havivumiliki Kenya......
 
Wala haini affect ati, mkitaka mnaweza hata mcoronate awe sultani kabisa. Maisha yenu hayo wala siyo yangu
Hahaha, kwani mkuu unadhani unaweza amua jambo kwa ajili ya wengine? Hivyo unavyoona JPM anawachukulia wanaompinga kama maadui ndivyo hivyo na wewe unaona wanaomkubali hawako sawa,
In life everyone is free to decide and do what they think is right, unadhani na wewe kwa wengine upo sawa na huo mtazamo wako?
Calm down na heshimu machaguo ya wengine.
To me nikiondoa Mwalimu Nyerere, JPM is better than the rest.
 
Breena save your energy. Don't even mind this lunatic of a person. Someone whose comprehesion of anything is very low!

Ignore him!
 
Breena save your energy. Don't even mind this lunatic of a person. Someone whose comprehesion of anything is very low!

Ignore him!
Wewe achana na siasa za Tz, njoo kule tuendelee kupost mapichapicha,
Kaa huko kwenu Kunyaland na mungiki wenu.
 
Wewe achana na siasa za Tz, njoo kule tuendelee kupost mapichapicha,
Kaa huko kwenu Kunyaland na mungiki wenu.
See? Very STUPID.

How on earth was the internet made accessible to you though? It's such a shame!
 

Hata Bokassa, Mengitsu na Amin approval ratings zao zilikuwa perched high to some individuals. Uko unamuunga mkono Magufuli and its understandable lakini in the long he's taking your country into the grave like many tyrants in the past.
 
tafiti ya twaweza ni takataka.wanajipanga kumsafisha next year!
 
Hata Bokassa, Mengitsu na Amin approval ratings zao zilikuwa perched high to some individuals. Uko unamuunga mkono Magufuli and its understandable lakini in the long he's taking your country into the grave like any other tyrant in the past.
Iwe grave Mara ngapi mkuu? Was it any better before??? Awamu iliyopita mlilia mkamwomba Mungu mletewe Rais dictator, and here he is,
Mimi sio shabiki wa vyama vya siasa, na wala sikumchagua, but kama akimaliza muda wake asepe basi aache nchi ikiwa na Miundombinu thabiti basi inatosha.
Miundombinu is the beat thing JPM can do better. Huo Uhuru wa Kuongea mnautaka Mimi huwa sielewi, watu hata uelewa wa mambo ya kawaida tu hawana wanataka wafanye siasa 24/7, hatuwezi Kuendelea na watu wanataka wafanye maandamano kila wakati, na huku Africa kila mtu ni mwanasiasa, unafikiri production itafanyikaje?
Trust me, we Africans need such leaders, na mtamkumbuka huyo mzee, mark my words.
 
See? Very STUPID.

How on earth was the internet made accessible to you though? It's such a shame!
First, be wise, you must at lest appreciate Tanzanians for creating this platform that even you Kenyans despite your tribal intrinsics can come and feel the taste of unity that we Tanzanians enjoy,
Ama namna gani, I believe JF keeps you and many of your fellow countrymen sleepless.
Karibu sana, but huku kwetu wengi tupo vijana kiumri ila tayari tupo matured, we don't see reasons to insult each other, behave.
 
NONSENSE!
 

Hili ni la kwenu wabongo, lakini sisi spectators twasema kwamba Maendeleo yasiwe ya vitu tu, bali watu pia. Maendeleo siyo kuwa na Ndege, SGR na Magorofa tu, inabidi muwaandae watu wenu. Zululand wako na everything ambavyo ninyi hamna kabisa kuanzia roads hadi ndege lakini umeona maisha waishio wazulu ? Miundombinu inawafaidishaje ati ? Maendeleo needs balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…