Duh! Umaarufu wa rais Magufuli umeshuka 41% kwa miaka miwili


Hili ni la kwenu wabongo, lakini sisi spectators twasema kwamba Maendeleo yasiwe ya vitu tu, bali watu pia. Maendeleo siyo kuwa na Ndege, SGR na Magorofa tu, inabidi muwaandae watu wenu vizuri.

Zululand wako na everything ambavyo ninyi hamna kabisa kuanzia roads hadi ndege lakini umeona maisha waishio wazulu ? Miundombinu inawafaidishaje ati ? Maendeleo needs balance jamani
 
The Kenyan woman is the real deal. This thread is evidence. Beauty, brains and just the right mix of confidence and humility. Man some buggers are getting serious education over here. [emoji23][emoji23][emoji23] Watching from the sidelines.
 
Wangethubutu kuiga CCM hawangetawala hata mwaka mmoja, kuna vitu havivumiliki Kenya......
Upo dunia ya ngapi, wameshathubutu sasa, fuatilia hiyo habari google. Ni msemaji wa chama chenu alisema, kitambo sana.
Baki hapo, sasa hivi mtaongozwa na some elements za ccm, you can see, mahakama yenu ina flex her lil muscle kupinga iyo sheria mpya ya habari, iliyokuwa previous introduced in Tz, its like they copied Tz, but with more strict punishment. But mzizi wa executive umeenda chini zaidi.
 
I agree with you, Maendeleo ya Watu ni muhimu tena kuliko Vitu, but what if huwezi yafanya yote kwa Pamoja? One will chose to do one at a time,
Ikiwa una kipato kidogo na unataka kujenga nyumba yako uishi na wanao ni Lazima ujinyime,
I bilieve kwa Sasa Miundombinu ni Muhimu sana kufanikisha maendeleo ya watu,
Hatuwezi kusema tuna maendeleo ya watu ikiwa tunasafiri 15hrs toka dar to Mbeya, au 19-20hrs dar To Mwanza,
Ni Lazima yafanyike mambo ya msingi kupanua wigo wa kiuchumi na hasa kuongeza mapato na tija katika Utalii, Kilimo, Madini, Viwanda n.k
Mambo haya yatafanikiwa tu ikiwa kuna Miundombinu thabiti kama Viwanja vya ndege, Shirika la ndege, Miundombinu ya Barabara na Reli, Umeme wa uhakika, Bandari yenye ufanisi na Mengineyo, haya ndio Mambo JPM anayafanya,
Hebu fikiria wakati tz nchi yenye watu 55M tuna megawatt 1500 na south Africa wenye population ya 60M wana zaidi ya MW40,000 si aibu hii?
Naamini hadi 2025 tutakuwa na walau 4000MW.
Tukifika hapo sasa rais ajae aanze na mambo kama elimu, afya bora, maslahi ya wafanyakazi, makazi bora, haki za watu, n.k sababu tayari nchi itakuwa imesogea kwenye Miundombinu.
 
I agree with you, Maendeleo ya Watu ni muhimu tena kuliko Vitu, but what if huwezi yafanya yote kwa Pamoja? One will chose to do one at a time,

Kufanya vitu viwili kwa pamoja inawezekana vizuri, its called the principle of prioritizing. Unachagua yale muhimu at a macro scale na yasiyo muhimu wayaacha.

Shida kubwa mko nayo wabongo ni allowing Marxism shape your understand of economy.
Watu hawahitaji kufanyiwa kila kitu na government na hakuna government inaweza kufanya kila kitu halafu ikafanikiwa. Watu wanahitaji kujiendeleza wenyewe kupitia Free Market System and Private Sector.

Hapo kazi ya government itakuwa ni ndogo tu, kusimamia vizuri fair competition ili kuzuia monopolies, capital markets for long term investments , taxation, international trade, foreign investments na monetary system. Bongo mko mnasubiri mpaka barabara zitengengezwe na Magufuli ndiyo mje kwenye maendeleo ya watu. You don't need a daddy or nanny type of government, hata communist China imewashinda kabisa when it comes to having a stable private sector

Why is Magufuli strangling the private sector ? Hivi wajua kama Magufuli asingenunua ndege nyingi akatoa mikopo nafuu ya kwa wakulima ninyi wabongo leo hii mngekuwa mmtackle unemployment by 40% percent na mngetawala soko la mazao ya chakula hapa EAC yote ?

Lengo ni kutumia Keynesian Economic Model, ambapo the more the increase in income the more the increase in spending and production. Hapa mtanunua hata ndege 20. Wabongo mko slow na waoga, ati mwabana matumizi. Austerity haiwasaidii hata kidogo kwasababu haiongezi production ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…