Breena Saitoti
Member
- Jul 6, 2018
- 74
- 60
Iwe grave Mara ngapi mkuu? Was it any better before??? Awamu iliyopita mlilia mkamwomba Mungu mletewe Rais dictator, and here he is,
Mimi sio shabiki wa vyama vya siasa, na wala sikumchagua, but kama akimaliza muda wake asepe basi aache nchi ikiwa na Miundombinu thabiti basi inatosha.
Miundombinu is the beat thing JPM can do better. Huo Uhuru wa Kuongea mnautaka Mimi huwa sielewi, watu hata uelewa wa mambo ya kawaida tu hawana wanataka wafanye siasa 24/7, hatuwezi Kuendelea na watu wanataka wafanye maandamano kila wakati, na huku Africa kila mtu ni mwanasiasa, unafikiri production itafanyikaje?
Trust me, we Africans need such leaders, na mtamkumbuka huyo mzee, mark my words.
Hili ni la kwenu wabongo, lakini sisi spectators twasema kwamba Maendeleo yasiwe ya vitu tu, bali watu pia. Maendeleo siyo kuwa na Ndege, SGR na Magorofa tu, inabidi muwaandae watu wenu vizuri.
Zululand wako na everything ambavyo ninyi hamna kabisa kuanzia roads hadi ndege lakini umeona maisha waishio wazulu ? Miundombinu inawafaidishaje ati ? Maendeleo needs balance jamani