Duh! Watanzania madeni yote haya ya kesi na bado mnaisema Kenya

Duh! Watanzania madeni yote haya ya kesi na bado mnaisema Kenya

Unataka tuwajali nyie wakati uzembe wenu umewashinda hadi nchi inaliwa yote.
Ya kwenu imekwisha kabisa na wewe mwenyewe unajua nchi za kibepari tangu 1964!
Nyinyi na vizazi vyenu ni fukara wa milele walahi!
Acha wahindi na wadhungu waendelee kuwakamua mpaka mfe walahi!
 
Ya kwenu imekwisha kabisa na wewe mwenyewe unajua nchi za kibepari tangu 1964!
Nyinyi na vizazi vyenu ni fukara wa milele walahi!
Acha wahindi na wadhungu waendelee kuwakamua mpaka mfe walahi!
 
Mtuombee tu tuna raisi kichaa dua zenu jamani
 
Nimetembea more than 15 countries in Africa and beyond that but I have never meet people who are in severe poverty than Kenyans!

Tunapozungumzia The richnes of a certain country should directly corresponds with living stards of it's people.

Wakenya msidanganywe kuwa na barabara nzuri, railways, Airways ni kufanikiwa but inatakiwa hizo potential zote ziwaguse wananchi tena mmojammoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
KENYA NI CAPITALISM!
Sasa hivi itawapata yanayo tokea SA!
Zimbabwe inahamia Kenya soon walahi!
 
Back
Top Bottom