mpondamali
JF-Expert Member
- Sep 5, 2011
- 501
- 176
Wenzetu wakisha fuzu mguu mmoja waga wanafia ndani leo litanzania lina cheza kama limeshindia vitumbua kudadekiJiwe aliagiza warudi na ushindi. Sasa hawa wakifika brake ya kwanza iwe jeshini wakabangue korosho na kufundishwa uzalendo[emoji41]
kwahyo hela lazima irudi kauli nyingine zinaleta gundu.Jiwe aliagiza warudi na ushindi. Sasa hawa wakifika brake ya kwanza iwe jeshini wakabangue korosho na kufundishwa uzalendoš
Ironically huo ndo ukweli. Chai ya rangi, chapati 2 na maharagwe ndo menu za wachezaji wetuWenzetu wakisha fuzu mguu mmoja waga wanafia ndani leo litanzania lina cheza kama limeshindia vitumbua kudadeki
si wajitoe kama Sierra LeoneIronically huo ndo ukweli. Chai ya rangi, chapati 2 na maharagwe ndo menu za wachezaji wetu
Maximo alikuwa na longterm planBoramaximo kulikohuyi