mpondamali
JF-Expert Member
- Sep 5, 2011
- 501
- 176
Hiii TAIFA STARS cjui ni namna gani..timu Leo haikuwa hata haieleweki inacheza kwa namna gani..hakuna flow of play kabisa..Lesotho ni team nzuri ila nadhani imefanya juhudi kusoma michezo ya TZ mbalimbali....team yetu Leo haikuwa ktk mchezo kbsaaaa.....hongera LESOTHO , TAIFA STARS TUACHE YA NYUMA TUGANGE YA MBELE....