Duka ambalo 100% wateja ni wanawake

Duka ambalo 100% wateja ni wanawake

Nadhani ni duka ambalo unaongelea liko lipo kama halipo, ila wateja wengi ni wanawake hasa nyakati za jioni, na muuzaji mara nyingi ni mwanaume kama wa kipemba, mara chache mwanamke, ni duka ambalo linauza vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), ila vipodozi hivyo bado vinapendwa sana na wanawake wengi, vipodozi kama caro light, na vinginevyo vyenye hydroquinone na chemicals zingine zilizopigwa marufuku, zipo pale

Kama ni hilo basi lipo Livingston na Kariakoo na si Mpemba, yule ni Mchagga.
 
Market segment imelenga nani?! hilo ndiyo la kwanza ulitakiwa uangalie.
 
kwani livingston iko api?

Kuna area ya Kariakoo na kuna mtaa wa Kariakoo, Livingstone ipo Area ya Kariakoo na kuna junction inayokutana mtaa wa Livingston na Mtaa wa Kariakoo.

Ukitokea Mtaa wa Msimbazi panapoanzia mtaa wa Livingston, ukihesabu junctions, mtaa wa kwanza ni Ungoni st, wa pili ni Amani st, wa tatu ni Udoe st, wa nne ni Kariakoo st, wa tano ni Mafia st...

Kabakabana, hapo Kariakoo ni kwetu, nimezaliwa, nimekulia hapo.
 
Kumbe wateja wapo humu humu?!!
POPOOOOO!

Yes, huwa nanunua vibanio vya nywele (chupio) pale kwake, ni rahisi uki fananisha na maduka mengine. Isitoshe, hiyo ni mitaa ya "Home ground".
 
Endeleza uchunguzi wako ukimaliza jipime kama kichwani zimo
 
Yes, huwa nanunua vibanio vya nywele (chupio) pale kwake, ni rahisi uki fananisha na maduka mengine. Isitoshe, hiyo ni mitaa ya "Home ground".

Kumbe ndio home?! nakuja basi 2mr unioneshe lilipo nataka nimnunulie mke wangu mchina mana haya orikino naona kama sifaidi hivi.
POPOOOOO!
 
Unauhakika si Livingston na Kariakoo? kiduka cha usiku? kina dirisha moja tu la kuhudumia?

FF naamini unakifahamu hebu tujuze na hicho kidirisha kina mlango au pazia tu naomba na jinsia ya muuzaji/wauzaji
 
LItakuwa ni lile duka wanauza bikira na udi wa kufukizia chinini kwa wanamama
 
Kama ni duka linalotoa huduma au linashughulika na bidhaa zinazohusiana na wanawake tuu ni sahihi kuona wanawake tuu wakiingia. sasa wanaume wataingia huko wakapate huduma gani?...kwani wewe ni askari hapo dukani? je kama inawezekana wanaume wanaingia wakati haupo utajuaje?
 
Kuna area ya Kariakoo na kuna mtaa wa Kariakoo, Livingstone ipo Area ya Kariakoo na kuna junction inayokutana mtaa wa Livingston na Mtaa wa Kariakoo.

Ukitokea Mtaa wa Msimbazi panapoanzia mtaa wa Livingston, ukihesabu junctions, mtaa wa kwanza ni Ungoni st, wa pili ni Amani st, wa tatu ni Udoe st, wa nne ni Kariakoo st, wa tano ni Mafia st...

Kabakabana, hapo Kariakoo ni kwetu, nimezaliwa, nimekulia hapo.

hapo hapo ww ummelenga
 
Back
Top Bottom