Nadhani ni duka ambalo unaongelea liko lipo kama halipo, ila wateja wengi ni wanawake hasa nyakati za jioni, na muuzaji mara nyingi ni mwanaume kama wa kipemba, mara chache mwanamke, ni duka ambalo linauza vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa (TFDA), ila vipodozi hivyo bado vinapendwa sana na wanawake wengi, vipodozi kama caro light, na vinginevyo vyenye hydroquinone na chemicals zingine zilizopigwa marufuku, zipo pale
Some people are living because it is illegal to kill human being in this country.
Kama ni hilo basi lipo Livingston na Kariakoo na si Mpemba, yule ni Mchagga.
Unauhakika si Livingston na Kariakoo? kiduka cha usiku? kina dirisha moja tu la kuhudumia?
kwani livingston iko api?
Kumbe wateja wapo humu humu?!!
POPOOOOO!
Sasa kama linauza nguo za kike mwanaume aende huko dukani kufanyaje?!
POPOOOOO!
Ameenda kutafuta mchina kwa ajili ya shem!!!
Yes, huwa nanunua vibanio vya nywele (chupio) pale kwake, ni rahisi uki fananisha na maduka mengine. Isitoshe, hiyo ni mitaa ya "Home ground".
tunauza makalio, unataka na wewe???
Unauhakika si Livingston na Kariakoo? kiduka cha usiku? kina dirisha moja tu la kuhudumia?
litakuwa nilile duka la kuuza chupii za kike sasa wewe mwanaume waenda humo kutafutanini...
Wanauza nguo za kke
Kuna area ya Kariakoo na kuna mtaa wa Kariakoo, Livingstone ipo Area ya Kariakoo na kuna junction inayokutana mtaa wa Livingston na Mtaa wa Kariakoo.
Ukitokea Mtaa wa Msimbazi panapoanzia mtaa wa Livingston, ukihesabu junctions, mtaa wa kwanza ni Ungoni st, wa pili ni Amani st, wa tatu ni Udoe st, wa nne ni Kariakoo st, wa tano ni Mafia st...
Kabakabana, hapo Kariakoo ni kwetu, nimezaliwa, nimekulia hapo.
Endeleza uchunguzi wako ukimaliza jipime kama kichwani zimo