Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Naomb kuyafaham ayo makapun yanayokopesha dawa?
 
Kama ukifanikiwa mm nmesomea mambo ya madawa nina diploma na nina chet naomba uniajili. Namba zangu ni 0658047048
 
Wakuu natumai ni wazima wa afya...

Naombeni msaada wenu nina millioni moja nahitaji kuanzisha duka dogo la madawa mhimu ya binadamu...

Je, ni taratibu zipi natakiwa kuzifuata ili niweze kuanzisha...

Vilevile kwa hicho kiasi cha pesa nilicho nacho chaweza kutosha?

Je, kuna haja ya kuweka cheti cha mfamasia?

Je, ni mazingira gani hii biashara yafaa kufanywa?

WAKUU NAHITAJI MSAADA WENU
 
Nadhani kitu cha kwanza wapaswa kwenda kupata licence kutoka TFDA pamoja na baraza la wafamasia ili upate vibali vyote. Hii itakusaidia kuepuka usumbufu pale wanapotokea wakaguz. Ila pili kwa huo mtaj wako wa shilingi milion moja ni mdog lakin wala usikate tamaa pia unatosha tu kwa kuanzia maana kanuni ya biashara yoyote ile ni kuwa na wazo endelevu pamoja na strategies na sio kuwa na pesa nyingi
 
Asante SANA mkuu .....
 
Uko sehemu gani? Mjini au Vijijini? Duka la Dawa Mhimu kisera limekusudiwa kwa Vijijini.Kama upo manispaa au Jiji fikiria Pharmacy,inayohitaji Taratibu maalum.
 
SASA wakuu kwani hata duka dogo la dawa muhimu za binadamu ...linahitaji cheti cha mfamasia? ....
 
Habari wanajF, ninahitaji kufungua duka dogo la dawa baridi, nahitaji kufahamu process za kufuatwa, kuanzia kibali cha biashara TRA, TFDA nakadhalika.
 
Unapofungua duka la dawa barid cha kwanza uwe na mhuzaji mwenye sifa, TRA utadaiwa laki moja inalipwa baada ya miez mitatu tangu ufungue, mhusishe phamacia wa wilaya akupe utaratibu wa jengo japo sio lazma kutimiza kila kitu kwa wakati,, ahasante
 
Nina mtaji wa 3 million. Nahitaj kufungua duka la dawa. Naombeni mwenye ufahamu wa maeneo ambayo yana ukosefu was huduma hii hasa maeneo ya pembezoni mwa mji wa Iringa

Nakosa muda wa kutosha kutembelea maeneo mbalimbal ili kufanya feasibility study na demand ya hii huduma. So kama unafahamu naomba unijulishe and I promise we can work together kufanikisha hili. Muda mwingi nipo ofisini kwahiyo pia nitakuhitaji katika usimamizi .
0763500398
 
ngoja nisubiri waje ...ila kama ukitaka soft copy ya hii mambo nitumie e-mail nikufowardie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…