Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Hela ndogo sana hiyo mkuu .... Dukani lazima kiwepo cheti cha mpharmasia ambaye utamlipa Million 1 mpaka million 1.5 kwa mkataba wa miezi 6....

Bado hujalipa kodi ya chumba ambayo umesema ni laki 5 kwa mwezi....

Bado ukarabati wa chumba vinatakiwa viwepo vyumba viwili vikubwa na ufunge Air condition ... Bado Manunuzi ya mzigo dawa,
Ongeza ifike hata Mill 25

Au nakushauri uanze na duka la Dawa Muhimu ambalo gharama yake haizidi Mill 5
Huyu Naye, in ground wanakula 250,000 tsh per month,na siku zinaenda.
 
vipimo vya duka la dawa baridi ni vipi as stipulated by any mamlaka ya dawa
 
Habari za asubuhi wana JF.

Wakuu kunasehemu nimeona naweza kufungua duka la dawa, naomba watalaam wanisaidie mahitaji yanayohitajika na gharama zake. Ningependelea kuweka dawa nyingi coz mi dr, kama kuna mtu anifafanulie madaraja ya maduka ya dawa. Natarajia ushirikiano wenu wakuu. Asante.
We dr wa ajabu yaani sisi badala tupate majibu kutoka kwako msaada na wewe unataka kutoka kwetu
Ili hari wewe ndio upo jikoni
Mfamasia unamjua wa kituo mpaka wilaya aisee
 
Back
Top Bottom