Milioni 6 kwa mwaka... huu pekee ni mtaji tosha wa biashara kwa karne hii ya biashara na digital marketing
.Sijajua uelewa wako katika masuala ya biashara yako vp?
1.kwann umechagua pharmacy, una ujuzi wa masuala ya madawa au una uzoefu tu wa hiyo biashara.
2.Tulia...fanya utafiti kabla ya kuamua biashara gani ya kuifanya... epuka kuanza biashara ambayo inachukua kiasi chote cha pesa..ulichonacho kw wakati mmoja..
mfano: kwa kiasi hicho cha pesa anza na biashara ambayo itakugharimu si zaidi ya milioni 7...hapo utakuwa na amani..hata biashara ikiyumba hutokuwa na was was..
imaginr unaanzisha biashara ambayo inaxhukua pesa hiyo yote...itakapoyumba utapanic na biashara inaweza kufa..
My advice fanya research ya biashara ambayo haito kuhitaji makodi yote hayo (milioni 6)...
kwa mfano watu siku hizi wanafanya food delivery ila unakuta hawana ofisi / pango linalowakata pesa nying kiasi hicho...huo ni mfano tu.. simaanishi ufanye hii biashara
Usiwaze kuhusu masoko soma uzi wangu huu kuhsu digital marketing
Kuelekea 2020: Siri ya kunasa wateja ambayo kila mmiliki wa biashara anatakiwa aifahamu
Dunia ya sasa ni ya kidigitali..huhitaji ofisi..ni kuipambanua tu bidhaa au huduma yako..mtu aweze kuihitaji..na hakikisha bidhaa yako ina tija kwa mtumiaji..
Huu ni mtazamo wangu tu.