Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Mkuu kwahyo hela ungeanza kwanza na DLDM ambapo 5M inatosha kabisa, then baada ya kupata uzoefu wa kuendesha DLDM hata miaka 3 hv ndio ufungue Pharmacy.

Nasema hvyo kwa sababu kufungua Pharmacy ni very complicated na kwa mtaji wako utajikuta unatumia pesa ndefu kwenye Usajili na gharama zingne na usibakiwe na hela nyingi ya kuchukua Stock.
Anza na DLDM kwanza ukishaiva uko ndio uwaze Pharmacy. Kwa hela yako hyo utafungua DLDM na kui manage bila wasi wasi..
 
Sawa mkuu.
Ngoja niangalie
 
Naomba mwenye uelewa anisaidie namalengo ya kufungua famasia naomba kujua vigezo ili nifungue natakiwa nikidhi vigezo gani msaada tafadhar
 
Kwa dawa za counter unahitaji muuzaji mwanye uelewa wa matumizi ya dawa.

Kwa dawa za kibali cha daktari unahitaji kuajiri mfamasia na leseni yake iwe ukutani muda wote.
 
Una uzoefu gani na mambo ya famasia, tuanzie hapo kwanza.
 
Ebu tembelea phamacy ya karibu au ambayo ipo standard unayoitika wewe na ujaribu kupata abc kupitia hapo unaweza kupata taarifa kamili. Najua ni ngumu mtu kukupa taarifa zote if possible toa kitu kidogo.
 
Kwa wabongo hii ni ngumu sana japo wapo watu wazuri ila ni bahati kukutana nao,zaidi utaonekana umetumwa na Serikali
 
Hilo nalo neno, ila unaweza kumdodosa muuzaji, je anaweza kuwa msaada?
Muuzaji anaweza,ila inabidi pia awe mzoefu na anajua mambo yanaendaje ila weka mazingira akuamini na ajue una nia njema
 
Uza jumla na rejareja inalipa.
Tenga vyumba viwili.
Sehemu 1 ya jumla sehemu nyingine ya rejareja.

Weka mfumo mzuri wa computer wa kuratibu mauzo.
Tangaza biashara yako.
Tembelea maduka ya dawa jitangaze

Biashara ya Pharmacy haitangazwi
 
Wanajukwaa kwema.

Naomba nianze moja kwamoja kwenye hoja yangu ili nipate ushauri. Nimepata kasenti kadogo hivi kama 17m. Sasa nikawaza nifanye biashara gani na wazo likanijia nifanye biashara ya phamacy.

Nimetafuta eneo nimepata sehemu ambayo kodi yake ni laki 5. Sasa najiuliza nianze hiyo biashara kwa hayo mazingira na mtaji utarudi?Ishu ni hiyo kodi ndio inaniumiza kichwa sana. Ila eneo ni nzuri tu.

Naomba ushauri na mawazo zaidi. Ni mimi mpambanaji wa maisha.

Man Army

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unataka ushauri ambao ni Realistic, huwezi kufungua Biashara ya Pharma kwa mil 17.

Huenda hiyo ikawa ni pesa ya Frame na Matengenezo ya Frame kukidhi vigezo vya Pharmacy. Utatakiwa kuwa na cheti cha Dispenser na Pharmacist kwa ajili ya usajili plus Registration fees.

Unaweza kusubiri more than 3 months ndio upate kibali. Wakati huo frame unaendeleza kuilipia na kumlipa mfamasia.

Sasa tuje kwenye kununua dawa kwa ajili ya kuuza . Dawa za Mil 20 duka lako linakuwa ni jeupe kabisa utaishia kujaza cosmetics.

Kibaya zaidi Biashara ya Pharmacy inategemea na Locations uliyopo na kwa kuanza tu weka about 2 years ndio huenda ukaanza kuchanganya na kuona angalau kafaida. Sijui utafanya nini ikiwa dawa haziendi na zina expire.

Kwa kamtaji ka mil 17, hutoweza kupata Bei nzuri unapoenda kununua Dawa, so huenda ukauza dawa zako Bei kubwa kuliko uhalisia:

wateja watakimbia kwa sababu hutokuwa na competitive price. Hii ndio siri kubwa ukiona wengine wanauza sana ; the same medicine ukienda Pharmacy nyingine bei ipo juu hatari, ni mchezo mkubwa sana kwenye game la Pharmacy.

Do your own research na pia tafuta mtaji wa kufungua Pharma, be serious kidogo mzee mtaji wako ni duka la dawa. Zile Frame za elf 70.

Mil 17 ni pesa ndogo sanaaaa kwenye Pharmacy. Ila unaweza kufungua duka la dawa baridi ukaweka Panadol na Cough Syrups.

Kama unapenda kusikia Ukweli Huu ndio ukweli.
 
Nashukuru sana kwa ushauri.
Ila mzigo sio lazima ninunue mwingi sana.
Naweza nunua mzigo wa 6m kwa kuanzia
6m nikalipa kodi
3m mambo ya ukarabati
Afu inabaki 5m.
Hapo vipi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app

Have you done any research kwenye hii business au Una stipulate things just by thinking ?

Maana naona umekimbilia kwenye mzigo , je do you know what it takes kumiliki Hiyo Biashara na conditions zake ?

Nadhani hilo ndio la Msingi wewe kulifahamu Before anything
 
Kwakuwa unaanza, unaweza kuongea na mfamasia ukampa hata 200K kwa mwezi.

Biashara ikiwa inakuwa na wewe unamuongezea.

Anaemlipa hiyo 1M ni mtu mwenye mtaji wa 50M na kuendelea na faida yake ni zaidi ya 5M kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha umpe Mfamasia laki 2 , mmh

Halafu ushauri; ukienda kwa hao wafamasia ukimwambia Unaanza Biashara Na mil 20 , honestly hutopata mtu .

Hatokubali hata siku moja , anauhakika mtasumbuana, Na for sure mtasumbuana.

maana wewe utakuwa na expectation zako na yeye utakuwa expectation zake.

Halafu nimesoma comment nyingi; wengi wanaandika kwa hearsay not buy realistic .kuna watu wataandika ukweli na kuna watu watakupa moyo pasipokuwa na knowledge. So ni wewe kuwa makini usijekujikuta unajichanga mil 17 ambayo unaweza ku invest kwenye Biashara nzuri na simple na ikazalisha pesa; badala yake unaenda kwenye business pasua kichwa kwa kuanza na mil 17 , totally impractical.

Nimeona mdau hapo anasema wewe fungua then utakopa dawa kwa wafanyabiashara wakubwa...... wapo wanaofanya hivo kwa riba na ni lazima uwe na advance . Sasa once unapowekewa riba maana yake unamfanyia mtu kazi. Maana dawa zikiexpire hiyo pesa utalipa tu. Unakula hasara mara 2.

Michezo hiyo hufanya maduka ambayo yapo kwenye game muda na wanajua movements ya biashara: Sasa wewe uanze na kuanza ukafanye michezo ya kukopa dawa .... my friend ...... !

Ndio maana nasema wengi humu wana comments kama zile inspirational speeches na mahesabu ya matikiti kwenye heka moja........

ukisoma mahesabu, unasema miezi 6 babake nimeuaga umaskini......

Nenda kalime Sasa ........ndio utajua kwanini ugali hauwekwi Chumvi LoL

utashinda na matikiti yako juani mwishoe uanze kuwapa majirani zako wale Bure.

Watizedi tujifunze kuwa realistic, tusipende sana blah blah
 
Bro nikushauri tu, pharmacy huwezi ukafungua tu, lazima ufunguwe kwanza duka la kawaida uone biashara inaendaje... Ili uweze kulipa kibali, leseni, tra, nesi wa ado, kodi ya pango na mfamasia atlist kwa siku uuze laki tatu kwenda juu, na iwe ni mauzo ya dawa tu na sii vipodoz. Ila kama umepata eneo zuri, fungua famasi.... Mtaji atlist 28m and above.. Hiyo ni ndogo kabisa.
 
Ukishika pesa unaona kila kitu kinawezekna ila ukija kwenye hesabu unaona kabisa huna lolote
 
Ha ha umpe Mfamasia laki 2 , mmh

Halafu ushauri; ukienda kwa hao wafamasia ukimwambia Unaanza Biashara Na mil 20 , honestly hutopata mtu .

Hatokubali hata siku moja , anauhakika mtasumbuana, Na for sure mtasumbuana.

maana wewe utakuwa na expectation zako na yeye utakuwa expectation zake.

Halafu nimesoma comment nyingi; wengi wanaandika kwa hearsay not buy realistic .kuna watu wataandika ukweli na kuna watu watakupa moyo pasipokuwa na knowledge. So ni wewe kuwa makini usijekujikuta unajichanga mil 17 ambayo unaweza ku invest kwenye Biashara nzuri na simple na ikazalisha pesa; badala yake unaenda kwenye business pasua kichwa kwa kuanza na mil 17 , totally impractical.

Nimeona mdau hapo anasema wewe fungua then utakopa dawa kwa wafanyabiashara wakubwa...... wapo wanaofanya hivo kwa riba na ni lazima uwe na advance . Sasa once unapowekewa riba maana yake unamfanyia mtu kazi. Maana dawa zikiexpire hiyo pesa utalipa tu. Unakula hasara mara 2.

Michezo hiyo hufanya maduka ambayo yapo kwenye game muda na wanajua movements ya biashara: Sasa wewe uanze na kuanza ukafanye michezo ya kukopa dawa .... my friend ...... !

Ndio maana nasema wengi humu wana comments kama zile inspirational speeches na mahesabu ya matikiti kwenye heka moja........

ukisoma mahesabu, unasema miezi 6 babake nimeuaga umaskini......

Nenda kalime Sasa ........ndio utajua kwanini ugali hauwekwi Chumvi LoL

utashinda na matikiti yako juani mwishoe uanze kuwapa majirani zako wale Bure.

Watizedi tujifunze kuwa realistic, tusipende sana blah blah
Ni kweli.

Nilifanya utafiti kuhusu hii biashara, nikagundua yafuatayo:

1. Sasa hivi kila sehemu kuna Pharmacy ukikosa kuna DLDM. Ila hakuna sehemu utakuta papo empty kabisa. Labda jangwani.

2. Gharama ni kubwa mno nje ya kununua mzigo. Unahitaji kama 10M ikiwa iddle ya kulipia fremu, mishahara, vibali n.k.

3. Ni kweli, kwa mtaji wa haraka unaohitajika ni kuanzia 30M. Tena hapo usubiri baada ya miaka mitano uone ikichanganya.
 
Back
Top Bottom