Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

Safi maelezo yameshiba,hivi mfamasia anaesimamia pharmacy anakuwa na elimu gani na anasoma miaka mingapi?
Mbona analipwa hela ndefu sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bachelor degree. Unaisoma kwa miaka 4

Sasa hivi ujanja ujanja umekuwa mwingi sana, wanalipwa chini ya hiyo hela ingawaje kuna kiasi elekezi
 
Inatosha kwa kuanzia, kitakacho pungua hapo ni mzigo(stock) ya kuanzia ambapo nasikia baadhi ya wauzaji wakubwa hukopesha. Ni muhimu ukija mtanadaoni ni kwaajili ya abc tu N kupata maoni lakini sio kupata uamuzi.

Fanya tafiti kwa kutembelea phamarcy 5 unazozifahamu, jaribu kuongea nao kupata uhalisia wa biashara, utakutana na changamoto ya wengi kunyima kutoa taarifa inabidi ujiongeze na kutengeneza mazingira hata ya kutoa pesa ya9 soda ka wafanyakazi ili kupata taarifa muhimu.

Muhimu kabisa katika pharmacy kwa mtazamo wangu ni eneo(location) na mzigo (stock) wa dawa muhimu, ukiwa kwenye eneo zuri (prime location) utauza hata 1m kwa siku.

Baishara hii naamini inafaida ya kutosha kwahiyo shime anza, ukifeli utakuwa umepata uzoefu...

sio kila mchangiaji anajua lolote, wengine hawajui lolote ila wanakatisha tamaa.

Zingatia taratibu za mambo ya famasi kama usajili na kupata kibali cha eneo kabla hujalipia pango...kuna mdau ameeleza kwa kina kwenye uzi fulani...
 
Thank sana mkuu.
Nimekuelewa sana aisee.

Hela hii bro kufungua pharmacy ni mtihan bora duka la dawa....pharmacy ina mashart na vigezo vikubwa zaidi mfano..lazima uwe na cheti cha mpharmacia ambae ana degree na mshahara wake si chini ya 1m...huu unapangwa na baraza la pharmacia hapo ukiongeza kodi ya nyumba....leseni na tra bado hujaajir wafanyakaz kama mpharmacia mwenye diploma hawa salary inafika 600k+ na nurse mana hawa wa degree anaweka cheti tu dukan ila humkuti kukaa dukan kwako hata
Hapo 17m inakata na hujaweka mzigo wowote...
Nakushauri fungua Dldm tu hii inahitaj nurse mwenye cheti cha ADO tu hata ukiwa na laki 5 unaanza na mzigo fresh nishafanya kaz na watu walioanza DLDM na mitaji ya 300k had 700k
Pia kodi ya 500k kwa biashara unayoanza changa ni kisanga mkuu.....jaribu kuchakata upya swala hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofauti gani kati ya pharmacy na duka la dawa muhimu?
 
Pharmacy anaruhusiwa kuuza dawa za aina zote kasoro zile tu zinaratibiwa a serikali (DDT).
Lakini duka la madawa linakuwa na dawa chache ambazo zinaruhusiwa kutumika pasipo ruhusa ya daktari.
Japokuwa kibongo bongo hata anti biotic kali uazikuta duka la dawa jambo ambalo ni kinyume.

Nimekupata vizuri
 
Huyo mphamasia anatakiwa alipwe mwisho wa mwezi. Tuseme 1m
Efd mashine laki4
Cheti cha dispensary???

Ngoja nione itakuaje huko mbele
Nashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa unaanza, unaweza kuongea na mfamasia ukampa hata 200K kwa mwezi.

Biashara ikiwa inakuwa na wewe unamuongezea.

Anaemlipa hiyo 1M ni mtu mwenye mtaji wa 50M na kuendelea na faida yake ni zaidi ya 5M kwa mwezi.

Mfamasia gani analipwa laki 2 kwa mwezi, wakati hata Mtu wa Dispensing Certificate humlipa hiyo hela akiwa kwenye pharmacy,

We unafikri kufungua pharmacy ni sawa na kufungua dula la dawa muhimu eeeh!, uliza mwenye pharmacy watakwambia [emoji124][emoji124]
 
Tafuta ndugu / rafiki yako ambae ni Bpharm registered mpige kazi,

Ingia field ndo utapata njia ya kupita, ADDO mjini utasumbuliwa pa kuiweka, we nenda mazima CHEMIST.

Uoga ndo kuchelewa kwa mafanikio yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa unaanza, unaweza kuongea na mfamasia ukampa hata 200K kwa mwezi.

Biashara ikiwa inakuwa na wewe unamuongezea.

Anaemlipa hiyo 1M ni mtu mwenye mtaji wa 50M na kuendelea na faida yake ni zaidi ya 5M kwa mwezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika kusema kuwa hakuna Mfamasia anayelipwa 200K kwa mwezi kwa dhamana/Kazi/makubaliano ya kasimamia biashara yoyote ya Pharmacy.
 
Back
Top Bottom