Hela hii bro kufungua pharmacy ni mtihan bora duka la dawa....pharmacy ina mashart na vigezo vikubwa zaidi mfano..lazima uwe na cheti cha mpharmacia ambae ana degree na mshahara wake si chini ya 1m...huu unapangwa na baraza la pharmacia hapo ukiongeza kodi ya nyumba....leseni na tra bado hujaajir wafanyakaz kama mpharmacia mwenye diploma hawa salary inafika 600k+ na nurse mana hawa wa degree anaweka cheti tu dukan ila humkuti kukaa dukan kwako hata
Hapo 17m inakata na hujaweka mzigo wowote...
Nakushauri fungua Dldm tu hii inahitaj nurse mwenye cheti cha ADO tu hata ukiwa na laki 5 unaanza na mzigo fresh nishafanya kaz na watu walioanza DLDM na mitaji ya 300k had 700k
Pia kodi ya 500k kwa biashara unayoanza changa ni kisanga mkuu.....jaribu kuchakata upya swala hili
Sent using
Jamii Forums mobile app