Duka la jumla la nguo za watoto

Duka la jumla la nguo za watoto

Wabogojo

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
354
Reaction score
87
Habari Wakuu!

Nonahitaji kujua ni duka au maduka gani jijini DSM naweza pata nguo classic za watoto kwa bei nzuri za jumla.
Ni imani yangu hapa JF ni kila kitu, nakaribisha PMs pia.
 
Habari Wakuu!

Nonahitaji kujua ni duka au maduka gani jijini DSM naweza pata nguo classic za watoto kwa bei nzuri za jumla.
Ni imani yangu hapa JF ni kila kitu, nakaribisha PMs pia.
mimi pia nahitaji sana kujua maduka hayo hasa hapo kariakoo. mwenye ufahamu opls tuambieni.
 
Mm nawajua watu ambao wanasafiri sana kuchukuwa nguo za watt ila sijui kama wanauza vp. Nitafuteni 0779420000.
 
Back
Top Bottom