Duka la kemikali

Duka la kemikali

intro

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
306
Reaction score
327
Habari wakuu.
Poleni kwa majukumu ya kitaifa na familia.Naomba kuelekezwa duka la chemicals za madini kwa hapa dar es salaam .Hasa natafuta 'activated carbon' kwa ajili ya ku-process dhahabu.
Natanguliza shukran.
 
Tuwasiliane 0768441304 Au PM
 
Back
Top Bottom