Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

Mzee wangu una mambo mengi ya kuongea sema ni vile tu hakuna utulivu. Ningekuwa nipo Dar es Salaam ningekuja kuchota historia fulani fulani kutoka kwako.
Mgeni...
Mungu akipenda iko siku atatukutanisha.
Karibu sana.
 
Usiogope ubishano , wengi humu ni vijana sana hivyo hayo mambo hawayajui.

Mama Maria hakuwa na nguvu kwenye amsha amsha za uhuru, pengine mwalimu hakutaka.

Na vile walisema kuhusu bad food hivi hili lina ukweli wowote ?

Ile nyumba ya Mwalimu ya magomeni hivi ipo? Inafanyiwa nini sasa.
Mamd...
Unakusudia mie kuogopa au mtu mwingine?
Nyumba ya Mwalimu Mtaa wa Ifunda, Magomeni sasa ni Makumbusho.

27862152_1946457332066251_1370600798039310336_n.jpg
 
Nakukubali sana ingawa enzi zenu. Sikuwepo ila nafatilia sanahbr zako ingawa unamkubali Sana Abdul Sykes kuliko Nyerere

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Dr...
Ndiyo unavyoona hivyo kuwa namkubali Abdul Sykes kuliko Nyerere.
Labda nikuulize.

Umesoma kitabu cha Abdul Sykes?
Ikiwa ndiyo nini maoni yako?
 
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM na kwa jinsi nchi hii ilivyoharibiwa na CCM, kushabikia historia ya TANU (ambayo ndio ilizaa CCM) ni zaidi ya kulishwa kwa lazima kinyesi kibichi cha binadamu. Inatia kinyaa na kufadhaisha mnoo.
 
Asalaam aleykum shaibu, napenda sana historia zako. Ningependa kufahamu umezaliwa mwaka gani mzee wangu?
 
Bin...
Waleikum Salaam Warahmatullah.
Nimezaliwa mwaka wa 1952.

Hongera sana mzee wetu.

Mimi kijana sijafika hata nusu ya umri wako ila nakukubali sana facts zako unazopenda kuweka evidence.

Tupe siri ya kuishi miaka mingi yenye afya mpaka miaka 70 unaweza ingia jamiiforums ukashusha nondo kalii
 
Fresh...
Hili la umri mrefu ni Allah mwenyewe anampangia kila mtu umri wake.

Hili la afya ni hali kadhalika lakini kuumwa kwa umri huu kama wangu utaumwa mara miguu mara uchovu nk.

Lakini jingine ni kuwa katika maisha yangu sijatumia ulevi wa aina yoyote ile au kuvuta sigara.

Nakuombea Mungu nawe Allah akujaalie umri tawil.
 
Kwa jinsi ninavyoichukia CCM na kwa jinsi nchi hii ilivyoharibiwa na CCM, kushabikia historia ya TANU (ambayo ndio ilizaa CCM) ni zaidi ya kulishwa kwa lazima kinyesi kibichi cha binadamu. Inatia kinyaa na kufadhaisha mnoo.
Zanzibar...
Mimi ni sehemu ya historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.

Babu zangu ndiyo waasisi wa African Association 1929 chama kilichokuja kuzaa TANU.

Baada ya kugundua kuwq pamekuwa kwa muda mrefu njama ya kufuta historia hii ndipo nikaandika kitabu kilichochapwa mwaka wa 1998.

Bahati mbaya pametokea watu hawakufurahishwa na kitabu hiki khasa kwa kueleza kuwa Waislam ndiyo waliompokea Julius Nyerere na ndiyo waliokuwq mstari wa mbele katika TANU.

Si swala la mie kuwa mshabiki.
 
Mamd...
Unakusudia mie kuogopa au mtu mwingine?
Nyumba ya Mwalimu Mtaa wa Ifunda, Magomeni sasa ni Makumbusho.

27862152_1946457332066251_1370600798039310336_n.jpg
Nimepata kuingia humo ndani nyumba ina choo cha kuflash nilishangaa sana miaka ya 50 wanatumia choo cha kuflash magomeni
 
Nimepata kuingia humo ndani nyumba ina choo cha kuflash nilishangaa sana miaka ya 50 wanatumia choo cha kuflash magomeni
Mdukuzi,
Ile nyumba imebadilishwa sana kabla ya kuwa kumbukumbu.
 
Mdukuzi,
Ukishaniita mzee usitumie neno "we" si heshima.

Sikwenda popote.

Naishi jirani na nyumba ya Ali Msham Magomeni Mapipa.

Wala sikosi usingizi.
Ukisha niita mzee usitumie neno we ,unanikosea heshima
 
Back
Top Bottom