Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #21
Mgeni...Mzee wangu una mambo mengi ya kuongea sema ni vile tu hakuna utulivu. Ningekuwa nipo Dar es Salaam ningekuja kuchota historia fulani fulani kutoka kwako.
Mamd...Usiogope ubishano , wengi humu ni vijana sana hivyo hayo mambo hawayajui.
Mama Maria hakuwa na nguvu kwenye amsha amsha za uhuru, pengine mwalimu hakutaka.
Na vile walisema kuhusu bad food hivi hili lina ukweli wowote ?
Ile nyumba ya Mwalimu ya magomeni hivi ipo? Inafanyiwa nini sasa.
Dr...Nakukubali sana ingawa enzi zenu. Sikuwepo ila nafatilia sanahbr zako ingawa unamkubali Sana Abdul Sykes kuliko Nyerere
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bin...Asalaam aleykum shaibu, napenda sana historia zako. Ningependa kufahamu umezaliwa mwaka gani mzee wangu?
Bin...
Waleikum Salaam Warahmatullah.
Nimezaliwa mwaka wa 1952.
Shukraan mzee wangu, pia hongera.Bin...
Waleikum Salaam Warahmatullah.
Nimezaliwa mwaka wa 1952.
Fresh...Hongera sana mzee wetu.
Mimi kijana sijafika hata nusu ya umri wako ila nakukubali sana facts zako unazopenda kuweka evidence.
Tupe siri ya kuishi miaka mingi yenye afya mpaka miaka 70 unaweza ingia jamiiforums ukashusha nondo kalii
Shukrani sanaMgeni...
Mungu akipenda iko siku atatukutanisha.
Karibu sana.
Zanzibar...Kwa jinsi ninavyoichukia CCM na kwa jinsi nchi hii ilivyoharibiwa na CCM, kushabikia historia ya TANU (ambayo ndio ilizaa CCM) ni zaidi ya kulishwa kwa lazima kinyesi kibichi cha binadamu. Inatia kinyaa na kufadhaisha mnoo.
Nimepata kuingia humo ndani nyumba ina choo cha kuflash nilishangaa sana miaka ya 50 wanatumia choo cha kuflash magomeniMamd...
Unakusudia mie kuogopa au mtu mwingine?
Nyumba ya Mwalimu Mtaa wa Ifunda, Magomeni sasa ni Makumbusho.
Mdukuzi,Nimepata kuingia humo ndani nyumba ina choo cha kuflash nilishangaa sana miaka ya 50 wanatumia choo cha kuflash magomeni
KumbeMdukuzi,
Ile nyumba imebadilishwa sana kabla ya kuwa kumbukumbu.
Ukisha niita mzee usitumie neno we ,unanikosea heshimaMdukuzi,
Ukishaniita mzee usitumie neno "we" si heshima.
Sikwenda popote.
Naishi jirani na nyumba ya Ali Msham Magomeni Mapipa.
Wala sikosi usingizi.