Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana kaka. Ukiambiwa taja sehemu moja unataja wapi ?
Wazo la kubaki Arusha sina kabisa. Hapa nawaza kuhama tu. Asante kwa ushauri hata hivyo
Mim kahama nilifika mwaka 2012 hvyo sikumbuki snaDaah! Boss umeanza kwa kunitisha. Nashkuru sana kwa ushauri wako lakini kwanini Tunduma na si Kahama licha ya changamoto za Tunduma ambazo wewe pia umezitaja
Picha iko wapi mkuu au unaipmKesho asubuhi boss
Waha wamejaa kila sehemu kahama na wanaweka kila kitu dukaniBuzwagi si ilifungwa ile?, Anyway,, kule khm labda ufungue duka specialised,, yaani liwe na upekee fulani,, mfano unaweza amua kuuza chupi za kike tu, jumla na rejareja,, utawapata wateja wa wilaya za pembezoni,uza urembo tu na vitu vya gift,keki etc,,,
Uza vifungashio dizaine zote kwa jumla, 😁,pipi, choklet, juices, etc.
Lakini duka la mangi labda uotee sana location,, maana yako kila kona, ushindani mkali
Kanda ya ziwa akafungue duka la vifaa vya baiskeli na zana za kilimo.Buzwagi si ilifungwa ile?, Anyway,, kule khm labda ufungue duka specialised,, yaani liwe na upekee fulani,, mfano unaweza amua kuuza chupi za kike tu, jumla na rejareja,, utawapata wateja wa wilaya za pembezoni,uza urembo tu na vitu vya gift,keki etc,,,
Uza vifungashio dizaine zote kwa jumla, [emoji16],pipi, choklet, juices, etc.
Lakini duka la mangi labda uotee sana location,, maana yako kila kona, ushindani mkali
Kahama maduka special kwa bidhaa fulani labda hardware, phamacy,,, mengine yana mix bidhaaWaha wamejaa kila sehemu kahama na wanaweka kila kitu dukani
Ni vizuri kuhama na kutafuta changamoto,hizo sababu zinazokuogopesha achana nazo kwani hazina uhalisia wowote,Cha msingi jipime unauwezo wa kufanya biashara ktk maeneo hayo,kiuhalisia kahama na tunduma ni maeneo ambayo Kuna watu wananguvu sana ya pesa,mi uzuri kote nimefika mf.site tu ya biashara ambayo ni nzuri lazima uinunue Kwa aliyepo mara nyingi si chini ya 10-20 mil.Bado hapo Kodi na mtaji,kama huna fedha za kutosha ni Bora kutafuta center nyingine Nako unaweza kutoboa tu.jambo lingine fanta utafiti wa kutembelea maeneo mengine usikariri kahama na tunduma tu bila hata kufika huko ukajionee mwenyewe,jambo la mwinyi duka la mangi ni capital intensive project Kama hunielewi ntatoa ufafanuzi baadaeDaah! Boss umeanza kwa kunitisha. Nashkuru sana kwa ushauri wako lakini kwanini Tunduma na si Kahama licha ya changamoto za Tunduma ambazo wewe pia umezitaja
chakufanya panda basi nenda tunduma kakague mazingila kisha nenda kahama kakague pia hizo sehemu zote zimechangamka sana tunduma magendo sana sababu ni mpakani pia watu wapale wajanja sanaAsante sana kwa ushauri wako. Hapa usariver nimeshaamua kuondoka. Nishaishi sana hapa nataka nibadili mazingira na nikutane na changamoto mpya.
Akachimbe KISIMA auze Maji... 😀😂😂😂😂aiseee watu weusi ni janga kubwa
Sasa umeshindwa kutumia hizo changamoto kuzigeuza fursa kwako?kama maji ya tabu peleka maji au itumie fursa hiyo.kwahuo uandishi wako nakushaur bakia hapo hapo usariver
Nenda Dodoma. Mji unakua kila siku utapata tu location Yako ukawe mkongwe wengine wakukubaliWazo la kubaki Arusha sina kabisa. Hapa nawaza kuhama tu. Asante kwa ushauri hata hivyo