Duka la mangi vs men salon

Duka la mangi vs men salon

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,192
Wakuu, wale wenyewe experience ya aina hizi mbili za businesses ipi inaweza ikaleta manufaa kwangu? NB mi mwenyewe ni fundi ila nitakua sikai mimi labda mi nitakua nakaa kuanzia jioni. Sababu nina mishe ingine pale atakua anakaa dogo so. Asanteni.
 
Hapa hutapata ushauri wa kukusaidia. Hii ni kwa sababu mafanikio ya biashara yoyote inategemea factors nyingi. Kwa mfano sehemu ilipo ni factor moja muhimu sana.
 
Sawa, ipi inaweza ikanipa most positive result?
All depends on the location na usimamizi.

Saloon ukipata eneo zuri na lipo busy utapiga pesa hasa ukiwa na kinyozi mzuri na huduma extra kama scrub maana mizee ya ovyo inapenda kukandwa kandwa. Ila ni rahisi kupigwa na kinyozi hasa kipindi kile haupo.

Duka la mangi faida yake huwa ni ndogo sana ila ni faida endelevu ukipata eneo lenye mzunguko mzuri. Na faida utaiona zaidi ikiwa unakaa mwenyewe.
 
All depends on the location na usimamizi.

Saloon ukipata eneo zuri na lipo busy utapiga pesa hasa ukiwa na kinyozi mzuri na huduma extra kama scrub maana mizee ya ovyo inapenda kukandwa kandwa.

Duka la mangi faida yake huwa ni ndogo sana ila ni faida endelevu ukipata eneo lenye mzunguko mzuri. Na faida utaiona zaidi ikiwa unakaa mwenyewe.
Najaribu kukuelewa hivi mkuu
 
Back
Top Bottom