Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,192
Hapana mkuu ni fundi shavingunawahi site kujenga nn
Hapana mkuu unajua uandishi ni artMbona umeandika huku unakimbia..🤔
Sawa, ipi inaweza ikanipa most positive result?Hizo biashara zote ni nzuri ukipata eneo zuri.
Kinyozi bossFundi shaving ndo ufund gan mkuu
Mtaji sio mkubwa bossKila la heri. Fungua duka kama una mtaji wa kutosha na upo maeneo yaliyochangamka lifanye la vitu vya jumla na rejareja.
Hapa hutapata ushauri wa kukusaidia. Hii ni kwa sababu mafanikio ya biashara yoyote inategemea factors nyingi. Kwa mfano sehemu ilipo ni factor moja muhimu sana.Wakuu, wale wenyewe experience ya aina hizi mbili za businesses ipi inaweza ikaleta manufaa kwangu? NB mi mwenyewe ni fundi ila nitakua sikai mimi labda mi nitakua nakaa kuanzia jioni. Sababu nina mishe ingine pale atakua anakaa dogo so. Asanteni.
Asante mkuuDuka liko vizuri mzunguko wa hela utauona Kisha fanya saving za kutosha fungua saluni ya kiume hakika utakuwa na biashara zote mbili ambazo zipo kichwani mwako kila la kheri.
All depends on the location na usimamizi.Sawa, ipi inaweza ikanipa most positive result?
Mkuu wewe nishauri then mimi ni mtu mzima nitachakataHapa hutapata ushauri wa kukusaidia. Hii ni kwa sababu mafanikio ya biashara yoyote inategemea factors nyingi. Kwa mfano sehemu ilipo ni factor moja muhimu sana.
Najaribu kukuelewa hivi mkuuAll depends on the location na usimamizi.
Saloon ukipata eneo zuri na lipo busy utapiga pesa hasa ukiwa na kinyozi mzuri na huduma extra kama scrub maana mizee ya ovyo inapenda kukandwa kandwa.
Duka la mangi faida yake huwa ni ndogo sana ila ni faida endelevu ukipata eneo lenye mzunguko mzuri. Na faida utaiona zaidi ikiwa unakaa mwenyewe.