I am very frustrated, hii ndio shida kubwa huku kwetu. Ujuzi tunao wa kukuza maua ila hatuna professionalism katika kuyauza. Hivi kwa nini mtu asijitokeze aanze biashara professional ya kuuza maua? angalao ajue jina ya maua yake (scientific name) na aweza kusema kama ni maua ya asili ya tropic (indigenous to TZ) ao laa. Awe na adress maalum, visit card, ikibidi aanze ka-bllog kakutangaza etc... Ao nyinyi mnaonaje wakubwa?