duka la maua, specialized

duka la maua, specialized

Roulette

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
5,568
Reaction score
5,386
Wakubwa, kuna mtu anajua sehemu specialized ambapo naweza kupata seedlings za maua? Kuna maua fulani ninayo yatafuta, nina jina lake scientific na nikiliona nitalijua ila sijaliona barabarani yanapouzwa.
Kama kuna duka lolote ao hata adress ya botanical garden mnalo lijua naomba msaada wenu.
 
I am very frustrated, hii ndio shida kubwa huku kwetu. Ujuzi tunao wa kukuza maua ila hatuna professionalism katika kuyauza. Hivi kwa nini mtu asijitokeze aanze biashara professional ya kuuza maua? angalao ajue jina ya maua yake (scientific name) na aweza kusema kama ni maua ya asili ya tropic (indigenous to TZ) ao laa. Awe na adress maalum, visit card, ikibidi aanze ka-bllog kakutangaza etc... Ao nyinyi mnaonaje wakubwa?
 
Back
Top Bottom