Duka la mchaga

Duka la mchaga

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Ona tangazo la biashara kwenye duka la mchaga:

KARIBU KWA MANGI UJIPATIE:
1.Sukari,mayai,baiskeli
2.kanga,pilau,walikuku
3.sambusa,tairi za trekta
4.madaftari na bia aina zote
5.petroli,matunda,nazi
6.vitumbua,mitumba grade one
7.supu ya utumbo,mabati,vocha
8.mtego wa panya,pembejeo
9.makabati ya nguo,kompyuta
10.juisi na mbogamboga
11.mahindi ya kuchoma,bajaji,simenti
12.leso,vyumba vya wageni na vyuma chakavu

KARIBUNI!!!!!!!

TRA MPO?
 
...hii ndo tunasemaga: 'GET ALL YOUR NEEDS UNDER THE SAME ROOF!'
 
Mchag mjasiriamali bwana ebo! Watanzania wote tuwe hivyo wajameni!
 
Safi hiyo ni shopping mall ya kichaga shida iko wapi sasa
 
kazi kweli kweli, sijui atakuwa na wahudumu wangapi hapo?
 
nimeipenda ina kila kitu ushindwe wewe tu kushop ahapo!
 
mbona shoprite kuna vitu kama hivyo? hiyou ndo supamaketi ya mchaga bana, no need kupota tym na nauli pia, kila hapohapo.
 
hahahaha hili duka limenichekesha liko full mazaga mchanganyiko
 
Back
Top Bottom