Black Opal
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 304
- 545
ningekuwa Murilo ningetangaza kila aliyepewa bunduki arusi nayo tupu na sio kiunoni ni kichwani tuHaya sasa ndio mambo ya hovyo, badala ya kuangaika na majizi wanaenda kuharibu biashara za vijana wanaopambana.
Sad huu ni kama wivu wa maendeleo tu.
Binafsi sina shida na maandamano ila huu uharibifu wa mali za vijana si sawa.ningekuwa Murilo ningetangaza kila aliyepewa bunduki arusi nayo tupu na sio kiunoni ni kichwani tu
ndugu yangu bima zetu za kibongo sio kabisa unaweza kuambia hukujiandaaa na majanga ungetakiwa uwe umelipia FFU leoBinafsi sina shida na maandamano ila huu uharibifu wa mali za vijana si sawa.
Ni kama wivu tu sasa Nenga anafaidika vipi na ufisadi. Hope ana bima ya biashara ya kumpunguzia maumivu.
Yeye na mke wake wanatumika katika kampeni za chama kilichokatisha maisha ya Watanzania wasio na hatia..mtu huvuna kile akipandachoBinafsi sina shida na maandamano ila huu uharibifu wa mali za vijana si sawa.
Ni kama wivu tu sasa Nenga anafaidika vipi na ufisadi. Hope ana bima ya biashara ya kumpunguzia maumivu.
Hao wasanii walilipwa kufumba mdomo dhidi ya mateso ya WatanzaniaHaya sasa ndio mambo ya hovyo, badala ya kuangaika na majizi wanaenda kuharibu biashara za vijana wanaopambana.
Sad huu ni kama wivu wa maendeleo tu.
Stupidningekuwa Murilo ningetangaza kila aliyepewa bunduki arusi nayo tupu na sio kiunoni ni kichwani tu
unachomaje mali za watu binafsi ? shenzi kabisa sijui nimuombe u kamishna kwa masaaa tu, hadi helicopta ningetumia kuchapia risasi watu 100 tu kwanza wa mfano waambizaneStupid
Chawa ni adui number moja wa taifa hili. Waandamanaji wawashughulikie vilivyo mpaka vichwa vyao vikae sawa, tuheshimiane!Haya sasa ndio mambo ya hovyo, badala ya kuangaika na majizi wanaenda kuharibu biashara za vijana wanaopambana.
Sad huu ni kama wivu wa maendeleo tu.
Nani wa kukataa akiitwa, wametumika Bashiru na Butiku iwe Nenga.Yeye na mke wake wanatumika katika kampeni za chama kilichokatisha maisha ya Watanzania wasio na hatia..mtu huvuna kile akipandacho
Wakachome kwanza biashara ya GSM au hawaoni Magorofa ya Abdul Kariakoo.Chawa ni adui number moja wa taifa hili. Waandamanaji wawashughulikie vilivyo mpaka vichwa vyao vikae sawa, tuheshimiane!
Kuna watu wanastahili hizo vandalism zaidi ya hao wawili.Yeye na mke wake wanatumika katika kampeni za chama kilichokatisha maisha ya Watanzania wasio na hatia..mtu huvuna kile akipandacho
Wote watafikiwa tu, ni suala la mudaNani wa kukataa akiitwa, wametumika Bashiru na Butiku iwe Nenga.
Kuna maduka ya Vunja bei na group lao wote Sinza na vijana luluki washabiki wa CCM wanao post kuliko Nenga kwanini liwe duka łake tu.
Binafsi siungi mkono uharibifu wa biashara za watu hasa vijana; si waende kuchoma litaasisi limoja likubwa.
Huu ni uonevu
Tulia mkuu. Tuliwaonya waache uchawa wao lakini hawakusikia uelekeo ni mmoja tuHaya sasa ndio mambo ya hovyo, badala ya kuangaika na majizi wanaenda kuharibu biashara za vijana wanaopambana.
Sad huu ni kama wivu wa maendeleo tu.
Wee shoga wa dully huyo tulia aonyeshwe shooBinafsi sina shida na maandamano ila huu uharibifu wa mali za vijana si sawa.
Ni kama wivu tu sasa Nenga anafaidika vipi na ufisadi. Hope ana bima ya biashara ya kumpunguzia maumivu.
Na bado (in October 2pm voice) 🤣🤣🤣unachomaje mali za watu binafsi ? shenzi kabisa sijui nimuombe u kamishna kwa masaaa tu, hadi helicopta ningetumia kuchapia risasi watu 100 tu kwanza wa mfano waambizane
Enablers wa watawala dhalimu waliamua kutokusimama na watu (upande wa haki). Hasira ya umma na iwahusu!Wakachome kwanza biashara ya GSM au hawaoni Magorofa ya Abdul Kariakoo.
Kuna sehemu nyingi za kufanya vandalism lakini sio kwa hawa watu wanaojitafuta.