GE2025 Duka la msanii Billnas lachomwa moto na Waandamanaji

GE2025 Duka la msanii Billnas lachomwa moto na Waandamanaji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hao sio wapambanaji ni wapumbavu
So kazi nzuri
Nashaur stive na mwijaku nyumba zao ziwake moto mwisho wakamalize kwa masanja
 
bado siku haijaisha
Whatever the outcome. Now you know not to mess with peoples lives.. mkiweza kuchomoka leo jua kuna mengine yatakuja tena sooon than you think mbegu imeshatoa mizizi!
 
Enablers wa watawala dhalimu waliamua kutokusimama na watu (upande wa haki). Hasira ya umma na iwahusu!
Enablers ni Muliro, Mafwele na wengine ambao wamekuwa wakizuia sauti kinzani, kutoka, kuuwa na kufunga wapinzani.

Hawa wasanii ni exploited (through) indirect intimidation na wenyewe (wengi wao) ni victim of circumstance, hawana namna.

Ndio kuna inastahili hizo acts of vandalism but not all. Anyway ni kwa sababu ya kati kati ya vuguvugu ngoja tuache.

Who is right or wrong, tusubiri mijadala ya aftermath.
 
Enablers ni Muliro, Mafwele na wengine ambao wamekuwa wakizuia sauti kinzani, kutoka, kuuwa na kufunga wapinzani.

Hawa wasanii ni exploited (through) indirect intimidation na wenyewe (wengi wao) ni victim of circumstance, hawana namna.

Ndio kuna inastahili hizo acts of vandalism but not all. Anyway ni kwa ya kati kati ya vuguvugu ngoja tuache.

Who is right or wrong, tusubiri mijadala ya aftermath.
Hata Roma ni msanii. Mbona yeye ameweza kusimama upande wa haki?
 
ningekuwa Murilo ningetangaza kila aliyepewa bunduki arusi nayo tupu na sio kiunoni ni kichwani tu
Nenda katangaze. Hamna ubavu watu wakiamua hatakama una nini watu hawaogopi na hiyo ilikuwa ni hofu ya wananchi ila kwasasa tafuteni mbinu nyengine?.
 
Wandamani wamechoma moto Duka la Nenga Tronix linalomilikiwa na msanii
Billnas
 
Kwanini wanachoma biashara za watu wakati mali za wizi za miviongozi ya serikali zipo kila kona na zinafahamika? Nakumbuka mob justice is emotional, not logical
 
Hivi stock ya mobomu ya kutoa machozi ni ngapi imebakia? Polisi wawe makini, wakiyatumia yote, stock itaisha...
 
Atakuwa na bima ya ccm watamlipa akajenge duka jingine lumumba.
 
Back
Top Bottom