CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Naomba kwa wale wafanyabiashara wa nguo au watembeaji kama mimi mnaoweza nisaidia kujua ni wapi naweza pata duka la nguo za watoto wa kiume hasa hasa SUTI au pigo zozote za ki ofisi na ki utu uzima uzima naomba mnisaidie location.
Au kama yupo anaemjua fundi mshonaji anaeshona suti kali kali za watoto wa kiume naomba msaada wakuelekezwa nampata wapi,au kama ni duka kuna mtu analijua linalouza vitu vya kiofsi ofsi (quality ones) mitoko ya namna hiyo lakini iwe ya kitoto toto.
Maduka mengi niyajuayo mimi yana nguo za watoto wakiume kama jeans,pensi,tshirt,nk nguo za kisharobaro sharobaro (staki nguo za hivyo) mfano wa nguo ninazotaka kuelekezwa au fundi anaejua kutoa vitu kama hivi hapa chini 👇👇
Shukurani kwa wote mtakaonisaidia kufanikisha hili.