Habari
Naomba ushauri juu ya biashara ya nguo za watoto pamoja na mazaga zaga yanayo husu watoto
Nina 5 Milioni, io n pesa ya kununua mzigo tu, namaanisha mbali na kodi ya chumba
Je kwa uzoefu wa wenye kuifanya hii kazi, naweza toboa au laaa!!??
Location yangu ni Tunduma