Duka la Oveloock Sewing Machines Dar es salaam lipo wapi?

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,897
wandugu, kwa anayejua maduka ya mashine fulani za overlock (hizi ni aina za chereheni za overock) kwa hapa dsm naomba tuelekezane. ninahitaji either of these three types.

1. JUKI overlock sewer

2. Bronex overlock(au Brother) sewer

3. Alvin overlock sewer

picha zake ni kama











 
AZUSA STREET
duh, hizo ni mashine za kufanyia nini mzee, za kiwanda au nini. ni kitu kigeni kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Jaribu mtaa wa sokoine.........clock tower........kuna duka lipo upande wa juu ya round about..unaweza pata kuna siku niliziona ila sikuangalia ni brand gani

all the best
 
Mmmnh

Mie niliagiza

Clock tower nilikuta machine za kizamani tu (ila ilikuwa 2013) labda ujaribu sasa kama wameanza kuketa
 
Mmmnh

Mie niliagiza

Clock tower nilikuta machine za kizamani tu (ila ilikuwa 2013) labda ujaribu sasa kama wameanza kuketa
mzee uliagizaje, naomba tujulishane tupatane ushauri. ninahitaji hii kitu sana.
 
Jaribu clock tower au ule mtaa wa nyuma yake (Agrey)
 
nenda emma macherehani kkoo first floor kwenye ule mjengo wa soko.
 
nilitumia e-bay..... nikazifuata machine fedex.

ila kuwa mwangalifu na machine unazonunua na umeme wetu wa bongo huu...
ulinunua mashine gani mzee na kwa bei gani? niliona duka fulani/kiwanda liko Los Angeles marekani, kuna ndugu yangu anakaa LA, linaitwa Atlaslevy.com | Sewing Machines, Parts, Pattern Supplies, Irons Systems, pale kuna overlock nyingi. na kwa madafu yalivyoshuka bei hivi, natarajia maumivu tu. nilikuwa nahitaji tatu au nne mpya, waifu anataka kufungua workshop fulani nampiga sapoti.
 
Wekeni bei zake na aina bora na matumizi yake kwa anaefahamu.Zinapatikana wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…