AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzee uliagizaje, naomba tujulishane tupatane ushauri. ninahitaji hii kitu sana.Mmmnh
Mie niliagiza
Clock tower nilikuta machine za kizamani tu (ila ilikuwa 2013) labda ujaribu sasa kama wameanza kuketa
mzee uliagizaje, naomba tujulishane tupatane ushauri. ninahitaji hii kitu sana.
kuna duka karibu kabisa na round about ya clock tower
ulinunua mashine gani mzee na kwa bei gani? niliona duka fulani/kiwanda liko Los Angeles marekani, kuna ndugu yangu anakaa LA, linaitwa Atlaslevy.com | Sewing Machines, Parts, Pattern Supplies, Irons Systems, pale kuna overlock nyingi. na kwa madafu yalivyoshuka bei hivi, natarajia maumivu tu. nilikuwa nahitaji tatu au nne mpya, waifu anataka kufungua workshop fulani nampiga sapoti.nilitumia e-bay..... nikazifuata machine fedex.
ila kuwa mwangalifu na machine unazonunua na umeme wetu wa bongo huu...
aisee kwenye mtandao zinaonekana kurange kati ya milioni moja na nusu hadi milioni mbili na nusu za kitz, tena kwa used, hasa hizo JUKI na BROTHERS.Bei zake zikoje wakuu???