0909Hekima
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 226
- 65
Habari zenu wana jamvi....
Ama baada ya salamu, leo nina jambo langu nataka niwahusishe ndugu zangu. Ni hili suala la duka la reja reja ( la mahitaji ya kila siku ya nyumbani ), baada ya kujitahidi kupata sehemu ambayo ni potential na pia kujaribu kuweka vitu kama mchele, sabuni, sukari, unga, na mafuta ya kupikia pamoja na ya kerosini, je wadhani ni kipi tena ktk jamii kina hitajio kubwa na hakina gharama ktk kukinunua na kukistore bila ku expire kwa muda mrefu ?? na nimeamua kuwakilisha kwenu mada kwa lengo la kufunguana kimawazo juu ya faida za aina ya biashara za duka la reja reja na pia mtanisaidia mimi kuwa na uelewa mkubwa juu ya biashara hii na pia kuwasaidia wale wenye ndoto hizi ila hawakujua waanzie wapi. Nawasilisha kwenu wana jamvi kwani mchango wenu utakuwa na tija kubwa kwa wale tunaojifunza ujasilia mali. Asante!!
Wenu mpenda busara na hekima... mwanajamvi.