Duka la vifaa vya Ujasiriamali Mbeya

Bongo Trust

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
253
Reaction score
247
Jamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
weka mada ueleweke vizur ujasiriamali ndio mali gani ainisha aina ya bidhaa unazotaka
 
Jamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
Vifaa vya ujasiriamali ni vingi.

Ujasiriamali katika nini?

Kama ni mashine mashine kuna:
1. Polymachinery, wapo Soweto kwenye jengo linaloungana na sheli ya Ifinity. Pale kwenye kona(mchepuko) ya daladala zinazotokea nanenane kuelekea Kabwe.
2. Kuna duka lingine lipo Kabwe ikiungana na jengo kubwa lenye Stabic Bank kwa upande wa barabara ya Isanga.
 
weka mada ueleweke vizur ujasiriamali ndio mali gani ainisha aina ya bidhaa unazotaka
Nahitaji mashine za tambi, materials za kutengenezea sabuni ya maji, materials za kutengenezea batiki, na sindano za kushonea carpets (door mats)
 
Nashukuru boss nitafika niwasiliane nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…