Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 247
Jamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka mada ueleweke vizur ujasiriamali ndio mali gani ainisha aina ya bidhaa unazotakaJamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
Vifaa vya ujasiriamali ni vingi.Jamani kama title inavyo sema, ninaomba mwenye kumiliki au mwenye kujua duka lolote linalouza vifaa vya ujasiriamali jijini MBEYA tuwasiliane. [emoji120][emoji120][emoji120]
Nahitaji mashine za tambi, materials za kutengenezea sabuni ya maji, materials za kutengenezea batiki, na sindano za kushonea carpets (door mats)weka mada ueleweke vizur ujasiriamali ndio mali gani ainisha aina ya bidhaa unazotaka
Nashukuru boss nitafika niwasiliane naoVifaa vya ujasiriamali ni vingi.
Ujasiriamali katika nini?
Kama ni mashine mashine kuna:
1. Polymachinery, wapo Soweto kwenye jengo linaloungana na sheli ya Ifinity. Pale kwenye kona(mchepuko) ya daladala zinazotokea nanenane kuelekea Kabwe.
2. Kuna duka lingine lipo Kabwe ikiungana na jengo kubwa lenye Stabic Bank kwa upande wa barabara ya Isanga.
Hyo ya njia ya kwenda isanga kwenye Gorofa ya machemba pale ndio naona ana vitu vingi sanaNashukuru boss nitafika niwasiliane nao
Nashukuru bossHyo ya njia ya kwenda isanga kwenye Gorofa ya machemba pale ndio naona ana vitu vingi sana