Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu wana jamvi! Ninakusudia kufungua duka la vifaa vya umeme, naomba msaada juu ya uendeshaji wake, kima cha chini ambacho ni kizuri kuanzia mtaji, hasara na ulipaji wake, na changamoto zozote zinazohusiana na hayo. Nawasikiliza.